Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

Hapana wee utajiskiaje mtoto wako wakiume akifanyia ushoga au hujazaa ,wee ni mwanamke wa aina gani?
Mtoto wangu akiwa na umri gani? Chini ya 18 nitachukua hatua, zaidi ya hapo yupo huru na ruksa juu ya mwili wake, nyege ni zake sio zangu, yeye ndio anajua nyege take zinahitaji tulizo au suluhisho gani.

Upooo??
 
But ni maisha tu nyie ******* tunajua nyie mnafanya huo ujinga kwa sababu ya njaa mmekosa maisha plan A mka-skip to plan Z so tunaishi na nyie hivyo hivyo tu.
 
Mkuu Jina linaonekana limeunda kwa vinasaba vya jina lenye asili ya Ke,pia profile na mwandiko na machapisho vinajieleza japo nimekuwa nikimwita hivyo huwa ha~mind🤔 au??
Na wewe muulize yeye amejuaje km mie sio ke, unafeli wapii?
 
Watu hawaishi kwa ajiri ya jamii, wanaishi kwa ajiri yao, watu wameshavuka huko kitamboo.
😂😂😂😂
Kwa hiyo hata tako lako likiwa nyangʼanyangʼa yeye Dudubaya wala sisi haituhusu?

Vipi kuhusu wazazi wako,umetegemea kuwapelekea mjukuu utakaejifungua au utakaemzalisha mtu maana nyie watu ni wa ajabu sana badala mgonge ngozi zote hizi mtaani mnagongwa nyie....yo dude,this is strange!
 
But ni maisha tu nyie ******* tunajua nyie mnafanya huo ujinga kwa sababu ya njaa mmekosa maisha plan A mka-skip to plan Z so tunaishi na nyie hivyo hivyo tu.
Unawasemea wepi? Kunao wamepiga shule hao straight uchwara hawatii mguu, na wako sites wanapambania kombe lao.
Poleee wee
 
Mtoto wangu akiwa na umri gani? Chini ya 18 nitachukua hatua, zaidi ya hapo yupo huru na ruksa juu ya mwili wake, nyege ni zake sio zangu, yeye ndio anajua nyege take zinahitaji tulizo au suluhisho gani.

Upooo??
Sawa madam
 
Kwa hiyo hata tako lako likiwa nyangʼanyangʼa yeye Dudubaya wala sisi haituhusu?

Vipi kuhusu wazazi wako,umetegemea kuwapelekea mjukuu utakaejifungua au utakaemzalisha mtu maana nyie watu ni wa ajabu sana badala mgonge ngozi zote hizi mtaani mnagongwa nyie....yo dude,this is strange!
Umehama tena, kuhusu wazazi wangu kutaka wajukuu sio suala lao, mie ndio naamua nipeleke au nisipeleke.

Nina amini mie kwa kazi yangu kuna straight uchwara wengi sana hawanifikii. Em lete hoja nyingine, vipi ushaanza kupwaya mkuu?
😂😂😂😂
 
Na wewe muulize yeye amejuaje km mie sio ke, unafeli wapii?
Hakuna sehemu nimesema najua wewe ni ke au me,nimemuuliza sababu najua humu watu wengi Wana ID-fiche na amenijibu vizuri by the way,tuachane na hilo siku Moja nitakufuata sirini unioneshe mgongo wako nikusaidie kuulinda😋😋
 
Unawasemea wepi? Kunao wamepiga shule hao straight uchwara hawatii mguu, na wako sites wanapambania kombe lao.
Poleee wee
Wamepiga shule wafirwe?

Umeona wapi?kama wapo wa hivyo hao hawakwenda shule kusoma waelimike,hizo sites labda corner Bar Sinza Kitambaa Cheupe za Tabata au Sinza mnakokutanaga.
 
Hakuna sehemu nimesema najua wewe ni ke au me,nimemuuliza sababu najua humu watu wengi Wana ID-fiche na amenijibu vizuri by the way,tuachane na hilo siku Moja nitakufuata sirini unioneshe mgongo wako nikusaidie kuulinda😋😋
Mlindaji yuko, na kazi yake anaiweza na kuimudu haswaa.
 
Wamepiga shule wafirwe?

Umeona wapi?kama wapo wa hivyo hao hawakwenda shule kusoma waelimike,hizo sites labda corner Bar Sinza Kitambaa Cheupe za Tabata au Sinza mnakokutanaga.
Nimecheka hadi machozi, hivi kwanini unaforce kitu kiwe km we unavyotaka?
Watu wako sites wanatafuta mkate wao wa kila siku, polee yako.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom