Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.

Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake, wataangalia iwapo kuna uwezekano wa kumchukulia hatua za kisheria mtu anayejiita dudu baya kwa kauli zake chafu na mbovu dhidi ya wasanii wenzake.

Katika kutoa onyo zaidi, alieleza kwamba, ameshangazwa ni kwanini mtu huyo ameendelea kupewa majukwaa licha ya maneno machafu ambayo ameendelea kuyatoa kila mara ashikapo mike.

MY TAKE: Dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.

Cc: Monetary doctor Lamomy cocastic Seran ephen_
Makonda na Doroth wanapishana sana ,kwani mda wote makonda alikuwa wapi,mimi nasimama na DUDU BAYA
 
Serikali ikiingia kichwa kichwa kwenye hili jambo, jamaa anaweza kuanza kuwataja watawala wanaopiga na kupigwa miti

Uzuri wake atapenyezewa data na hao hao gays
Kwahiyo Gran pah, unaamini Dudu baya ni mkubwa kuliko Serikali? Wamezimwa watu wenye nguvu ndani ya nchi hii iwe huyu mlevi wa visungura na nyagi feki? Acheni kumponza mwenzenu, yakimkuta mtamuacha pekee ake, hamuaminiki nyie waja. Lol.
 
Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.
Mboni unaipindisha hii makusudi?

Ninavyokujua wewe kupitia maandishi yako humu haushindwi kuandika “You Bela Watch Your Back” ila kwa sababu ipo against na wewe kupigwa pumbu unajifariji kwa kuipindisha ila huo ndiyo ukweli.
 
Ngoja aje apigwe shaba.

Utamponza huyo mlevi.
Lakini kwanini Mwanaume ukubali kuliwa wakati ke zimejazana mtaani

Ama iweje Mwanaume ufurahie kuingiza topeni kwa Mwanaume mwenzio wakati ke zipo kwaajili yetu

Kwamba huko nyuma ni kutamu kuliko mbele??🙌

Bora tumezeeka kwa kweli
 
Serikali ikiingia kichwa kichwa kwenye hili jambo, jamaa anaweza kuanza kuwataja watawala wanaopiga na kupigwa miti

Uzuri wake atapenyezewa data na hao hao gays

Namshangaa huyu Makonda kwamba sasa hivi anajifanya ku-mind kampeni ya Dudubaya wakati yeye na Kigwangala wakati wa awamu iliyopita walikuwa wanajiamulia tu kutaja na kushughulikia mashoga na watu wa madawa ya kulevya kwa kutaja majina hadharani...
 
Kwani umesahau Makonda alivyokataliwa na serikali ya JPM kupitia Balozi Mahiga (RIP) ? Anajua anachokifanya huyo Waziri.
 
Back
Top Bottom