Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

Pamefikia patamu, na uzuri makonda anajua hili suala lilivyo couz lishawahi kumkuta, nadhani atamfunza vyema huyu kichaa wa kizee.
Huyu si ndiye aliyetoa list ya mashoga baada ya Makonda kuomba kila anayemjua mtu anajihusisha na ushoga atoe taarifa?
 
Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.

Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake, wataangalia iwapo kuna uwezekano wa kumchukulia hatua za kisheria mtu anayejiita dudu baya kwa kauli zake chafu na mbovu dhidi ya wasanii wenzake.

Katika kutoa onyo zaidi, alieleza kwamba, ameshangazwa ni kwanini mtu huyo ameendelea kupewa majukwaa licha ya maneno machafu ambayo ameendelea kuyatoa kila mara ashikapo mike.

MY TAKE: Dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.

Cc: Monetary doctor Lamomy cocastic Seran ephen_
Makonda ni ***** na anapigwa miti Kama Kama machoko wenzake anaotetea
 
Dudubaya hayupo peke yake,ukisoma comments mitandaoni,asilimia kubwa wanamuunga mkono Dudubaya,

Uzuri wa Dudubaya hua haogopi,Kama Mahakamani ameenda sana,Selo amekaa sana,Jela amekaa sana,kwa wasio mjua ndio mjue kua Dudu ni mtu wa msimamo,

Unapofurahia eti Dudu afunguliwe kesi au afikwe na mabaya, ina maana kua Kampeni ya Dudubaya ina fanya kazi vizuri sana,ndio maana hata hapa JF zinashuka nyuzi za kumsema Dudubaya,ingekua kampeni yake haileti madhara wala msingeshughulika nae,

Y B W Y B
 
Huyu si ndiye aliyetoa list ya mashoga baada ya Makonda kuomba kila anayemjua mtu anajihusisha na ushoga atoe taarifa?
Watajuana wao wenyewe sasa, kila mtu atakua upande wake.
 
Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.

Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake, wataangalia iwapo kuna uwezekano wa kumchukulia hatua za kisheria mtu anayejiita dudu baya kwa kauli zake chafu na mbovu dhidi ya wasanii wenzake.

Katika kutoa onyo zaidi, alieleza kwamba, ameshangazwa ni kwanini mtu huyo ameendelea kupewa majukwaa licha ya maneno machafu ambayo ameendelea kuyatoa kila mara ashikapo mike.

MY TAKE: Dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.

Cc: Monetary doctor Lamomy cocastic Seran ephen_
Uhuru uliopitiliza siku hizi wizara hazina semina elekezi tena katika kuwafundisha kazi
 
Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.

Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake, wataangalia iwapo kuna uwezekano wa kumchukulia hatua za kisheria mtu anayejiita dudu baya kwa kauli zake chafu na mbovu dhidi ya wasanii wenzake.

Katika kutoa onyo zaidi, alieleza kwamba, ameshangazwa ni kwanini mtu huyo ameendelea kupewa majukwaa licha ya maneno machafu ambayo ameendelea kuyatoa kila mara ashikapo mike.

MY TAKE: Dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.

Cc: Monetary doctor Lamomy cocastic Seran ephen_
msukuma vs msukuma hio mechi itakuw akali sana
 
But ni maisha tu nyie ******* tunajua nyie mnafanya huo ujinga kwa sababu ya njaa mmekosa maisha plan A mka-skip to plan Z so tunaishi na nyie hivyo hivyo tu.
Na mimi nilishasema humu mtu anaye amua kufanya huo ujinga anakuwa tayari hana cha maana cha kufanya humu duniani
 
Back
Top Bottom