BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Waachane nae nini? Wenye mamlaka ndio wanaamua, kanuni, taratibu na sheria zifuatwe.Kama Wahusika wenyewe hawajaamua kufungua kesi basi waachane nae.
Sasa ndio ataona wabongo walivyo, watamuacha pekee ake. Km sio wao waliokua wanamsifia na kumkweza hapa.Watu wanamtumia kutukana wengine harafu akitukana unasikia anapewa zawadi ya Milioni moja bongo nyoso sana aisee...
You better watch your back. Hali ni mbaya, linda mgongo wako.Oooh kumeanza kukucha sasa, huyo kichaa anatakiwa apelekwe milembe haraka iwezekanavyo.
Watu wanafiki sana.Sasa ndio ataona wabongo walivyo, watamuacha pekee ake. Km sio wao waliokua wanamsifia na kumkweza hapa.
Pamefikia patamu, na uzuri makonda anajua hili suala lilivyo couz lishawahi kumkuta, nadhani atamfunza vyema huyu kichaa wa kizee.You better watch your back. Hali ni mbaya, linda mgongo wako.
Ndo nini?You better watch your back. Hali ni mbaya, linda mgongo wako.
Pele limepata mkunajiii..Pamefikia patamu, na uzuri makonda anajua hili suala lilivyo couz lishawahi kumkuta, nadhani atamfunza vyema huyu kichaa wa kizee.
Atajua hajui wakati huu.Watu wanafiki sana.
Si ndio.Pele limepata mkunajiii..
Hakuna cha kuachana nae. Ashughulikiwe mlevi mkubwa huyu.Kama Wahusika wenyewe hawajaamua kufungua kesi basi waachane nae.
Sio Mlevi ni kichaa, wakishamalizana nae, apelekwe milembe akakae Sober huko.Hakuna cha kuachana nae. Ashughulikiwe mlevi mkubwa huyu.
Hatujakuzidi wewe.Naona bichwa komwe na cocastic mmechanganyikiwa
Kuna kitu dadangu dr gwajima ametelezaWatu wanamtumia kutukana wengine harafu akitukana unasikia anapewa zawadi ya Milioni moja bongo nyoso sana aisee...
Ahahaahaha kwa lipi?Naona bichwa komwe na cocastic mmechanganyikiwa