Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

Waachane nae nini? Wenye mamlaka ndio wanaamua, kanuni, taratibu na sheria zifuatwe.
Hawajui sasa kama kuna sheria imevunjwa. Wamesema hawana uhakika! Hawajui!

Ushawahi kusikia wapi duniani wataalam wa sheria wanaona tendo fulani halafu wanaitana kikao cha kuchambua kama ni kosa ?

Ina maana hakuna kosa linalojulikana.

Na ni kwasababu Wizara ya Michezo na Utamaduni sio kazi yao ku enforce criminal role! Hawana uzoefu huo, hawana utaalam huo.

Viongozi hawaelewi majukumu yao. Hawaelewi kazi za wizara zao.
 
MDA UTASEMA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…