Pre GE2025 Makonda: Tutawapa kila kitu CHADEMA lakini kura hawatopata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo chawa wa Samiah aache kutafuta kiki kwa CHADEMA. Pia namshauri kuanzia Leo aache kufikirika kwa kutumia makalio bali aanze kufikiria kwa kutumia ubongo.
 
Angesema Sa,ia kaenda kuomba omba, Sio kutafuta pesa za maendeleo. Nchi hii tunaambiwa ina rasilimari nyiingi lakini hazitusaidii, kila siku tuko kwa watu kuomba. Halafu utasikia TRA imevunja record makusanyo ya kodi. Lakini hawataki kueleza kwanini report ya CAG inataja wizi kila siku na hakuna aliyehukumiwa kwa wizi.
 
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea magari ya wagonjwa Ambulance ili kutoa msaada itakapotokea dharura." - Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa Makuyuni Monduli Arusha

Ameongeza kuwa "Wakati wao wanaandamana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea nchini Indonesia kwenye vikao vya Kimataifa kutafuta fedha za miradi ya maendeleo."

Source - CloudsTv

Watoto wakikusumbua sana unawatafutia dude wahangaike nalo upumue kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea magari ya wagonjwa Ambulance ili kutoa msaada itakapotokea dharura." - Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa Makuyuni Monduli Arusha

Ameongeza kuwa "Wakati wao wanaandamana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea nchini Indonesia kwenye vikao vya Kimataifa kutafuta fedha za miradi ya maendeleo."

Source - CloudsTv
Wahalifu wengi huwa wanasumbuliwa sana na magonjwa ya afya ya akili. Kisaikolojia huwa wana athirika sana na hisia kuhusu wale waliowahi kuwadhulumu mali ama uhai wao.
 
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea magari ya wagonjwa Ambulance ili kutoa msaada itakapotokea dharura." - Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa Makuyuni Monduli Arusha

Ameongeza kuwa "Wakati wao wanaandamana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea nchini Indonesia kwenye vikao vya Kimataifa kutafuta fedha za miradi ya maendeleo."

Source - CloudsTv
Huyu bwege Zerobrain bado kidogo tu atatamka mwenyewe jinsi alivyomteka Ben Sanane na walikotupa maiti yake. Bado kidogo atatuambia namna walivyopanga kumshambulia Tundu Lissu na kila kilichotokea Dodoma pale Area D. Kari anavyopenda kushika microphone na kuongea ndivyo anavyoishiwa hoja. Na kwa vile HANA AKILI BASI tukae mwendo wa kupokea siri za uovu wote waliofanya na Magufuli.
 
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea magari ya wagonjwa Ambulance ili kutoa msaada itakapotokea dharura." - Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa Makuyuni Monduli Arusha

Ameongeza kuwa "Wakati wao wanaandamana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea nchini Indonesia kwenye vikao vya Kimataifa kutafuta fedha za miradi ya maendeleo."

Source - CloudsTv

[emoji16][emoji16]
IMG_7604.jpg
 
Nchimbi kishasema viongozi wa ccm muache kutukana na kudhalilisha watendaji wa serikali. Makonda bado anadhalilisha na kutukana.
Makonda amsikilize Nchimbi ??!
Never on Earth !!
Huyo jamaa anajiamini sana !
Hao watendaji unaowasema wajiandae kisaikolojia !!
 
n ahisi hii nafasi CCM wangempa mtu mwenye hekima, akili na utashi.
Kumpa mtu kama huyu nafasi kama hii hasa ukizingatia historia ya matendo yake OVU ni jambo la karaha sana!
Hata anayofanya huko Mikoani sio uhalisia hata kdg bali ni usanii.
 
Kupewa hiyo nafasi nadhani ni makusudi ili kukomoa baadhi ya watu wanaoonekana kwenda tofauti na Maza !
Ngoja tuone !
 
Back
Top Bottom