Pre GE2025 Makonda: Tutawapa kila kitu CHADEMA lakini kura hawatopata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tutawapa kila kitu maana yake nini?
Mimi kwa ufahamu wangu haki wanayopata Chadema na vyama vingine vyote ikiwemo CCM vinatokana na katiba, sheria,kanuni na miongozo tuliojiwekea wpte kama nchi.
Sasa huyu bwana division 0 aliekosa hata D mbili haya kayatoa wapi?...ila CCM safari hii mmepatikana
 
.... kasoro kura. Hii kauli ni fupi lakini imebeba ujumbe mzito ndani yake, kwamba wao ndio wenye maamuzi nani ashinde kwa kura ngapi, na yupi afuatie kwa kura ngapi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Wamejimilikisha nchi ...... CCM ni sawa na Mkoloni.

Wakoloni walifikiri watatawala milele ..... same as hawa Wakoloni wetu weusi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…