Seat ya mwanzo kabisa mlangoni upande wa kushoto ile ni ya kondakta, ila wao wanauza kwa abiria.Hiyo ina maana kwamba wamiliki wanajali maslahi yao binafsi, kwani wanashindwa kutenga siti mbili za mbele special kwa makonda?
Huenda maofisa wakati wapo mafunzoni walifundishwa kujali usalama wa abiria tu, na waka kariri na hawajiongezi kuona hilo tatizo la Makonda.bodi za Quality Geregy na Guru Nanak mlango wa abiria ulikuwa seat ya tano kutoka mbele, sasa zimekuja hizi michina milango iko mbele kama howo, sijui latra na tbs hawalioni hili kuwa ni tatizo? matrafiki wanapokagua abiria na wana kuta staff seat ina abiria wala hawahoji, nchi hii sijui tumeshindwa kujitawala? bora tumrudishe tu sultan za zanziber.
Wakiuza hela wanachukua wao au wana jumuisha kwenye hesabu ya Boss?Seat ya mwanzo kabisa mlangoni upande wa kushoto ile ni ya kondakta, ila wao wanauza kwa abiria.
Wengine wakaguzi, madalali etc. Sio wote makonda.Alafu siku hizi Makonda wamekuwa wengi kwenye gari moja, wengine wanapanda na kushukia njiani.
Au wengine ndyo madalali wa kutafuta abiria?
kila bus huwa na stuff seat mbili, zinauzwa konda na dereva wa akiba wanatandika godoro kwenye bonnet, tunapita check point na trafik anaona kabisa dereva kalalia kigodoro ala hahoji. kisa tu kofia imeguswa kwa ndaniHiyo ina maana kwamba wamiliki wanajali maslahi yao binafsi, kwani wanashindwa kutenga siti mbili za mbele special kwa makonda?
Makonda wawili wa nini? Mmoja tu anatosha. Kwanza inatakiwa tufanye kama majuu ambako gari linakuwa na dereva tu na ndiye anaweka na kutoa mizigo kwenye buti.Hiyo ina maana kwamba wamiliki wanajali maslahi yao binafsi, kwani wanashindwa kutenga siti mbili za mbele special kwa makonda?
Mkuu kofia kuguswa kwa ndani ina maana gani? Hapo umeniachatunapita check point na trafik anaona kabisa dereva kalalia kigodoro ala hahoji. kisa tu kofia imeguswa kwa ndani
Maboss wanaichukua, pale Dereva tyuuh ndo ana seat yake 7bu ni lazima.Wakiuza hela wanachukua wao au wana jumuisha kwenye hesabu ya Boss?
Madereva wetu muda wote wanawaza kukimbizana, hilo la wao kutoa mizigo itakuwa ngumu sana hapa kwetu.Makonda wawili wa nini? Mmoja tu anatosha. Kwanza inatakiwa tufanye kama majuu ambako gari linakuwa na dereva tu na ndiye anaweka na kutoa mizigo kwenye buti.
Niliwahi kuona wengine kama gari halina abiria wengi wanakaa kwenye siti, lakini gari ikijaa wanaweka roho mlangoni.Maboss wanaichukua, pale Dereva tyuuh ndo ana seat yake 7bu ni lazima.
Lakini wengine wanajiongeza wanakaa chini pembeni ya dereva kuna kisehemu huwa wanaweka foronya.
Naam, unahitaji ukumbusho ujenge kiimani?Aah wapi Kuna vipya vizuri zaidi.
Huko awahi Malaria 2
Ndo maana ake, sasa bora hizo za kutoka Dar to mikoani.Niliwahi kuona wengine kama gari halina abiria wengi wanakaa kwenye siti, lakini gari ikijaa wanaweka roho mlangoni.
Mpaka wanaamua kuuza siti inamaana maslahi yao ni madogo, sasa wanahatarisha maisha yao kwa kujaribu kuongeza maslahi yao.Ila wana moyo. Unakuta konda amekaa mazingira magumu kuanzia songea hadi mafinga kisa siti yake kauza.
Nawafananisha na wale wanaorithi nyumba halafu wanapangisha mpaka chumba anacholala halafu yeye analala anakesha nje.
Arusha niliona Haice hazina mlango na abiria wamejaa, chini zimetoboka barabara inaonekana 🙌🙌Ndo maana ake, sasa bora hizo za kutoka Dar to mikoani.
Nenda mikoani, root za ndani ya wilaya, uone njegeka zake, sio abiria wala kondakta wote roho rehani.
Halafu traffic police wanakagua kila kituo kuona kama abiria wamekaa na wamefunga mikanda ya usalamaImekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.
Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa safari?
Gari ikielekea kugonga obviously dereva anaitoa upande wake na kuelekeza upande wa kushoto ambapo Makonda husimama, ajali ndogo ya kugonga inaweza kuondoka na maisha ya konda pekee.
View attachment 3168930
View attachment 3168932
Jana basi la Mallesas limegonga lori kwa nyuma, binti mrembo ambaye alikuwa ni konda akapoteza maisha papo hapo.
Apumzike kwa amani na Makonda wengine wachukue tahadhari kama sio kubadili utaratibu wa kukaa karibu na kioo cha gari.
ndo hivyo mkuu,
sasa konda akae kwenye siti atalipia?
nadhani labda ukondakta ni utaratibu wa huku afrika tu
Na ving'amua speed vinazimwaga piaNa hizo league ndyo chanzo cha ajali nyingi barabarani