Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

Kuna siti maalum ya mhudumu, bahatibaya Kwa uroho huwa inauzwa.
Kuna mahari Kanda ya ziwa yaliitea Mohamed trans, walikuwa wanajali sana wahudumu wao Kwa kukalia siti
Hiyo siti ipo kwa kila bus tena zipo mbili, hao hao makonda ndiyo wanaziuza wanakula na dereva.
 
Halafu traffic police wanakagua kila kituo kuona kama abiria wamekaa na wamefunga mikanda ya usalama
Alafu wakikuta abiria hawajafunga mkanda Makonda na dereva ndyo wanaulizwa, wao wanasahaulika.
 
Boss mbona unasagia kunguni nafasi za ajira ya watanzania wahitaji? Uwepo wa konda kwenye gari ni ajira kwa watanzania
 
wana siti zao
ila inasemekana huwa wanaziuza
 
No even a single extra passenger
Konda anakaa kwenye seat hata kama ni daladala
Abiria wote wanafunga mikanda ya usalama
Speed limit zinaheshimiwa sana
Overtake inafanyika kwenye sehemu zilizoruhusiwa tu na kila dereva anaheshimu hilo
Kama ni hivyo Rwanda wapo mbali sana, huku kwetu konda wa daladala anabembea kabisa mlangoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…