Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

Kuna siti maalum ya mhudumu, bahatibaya Kwa uroho huwa inauzwa.
Kuna mahari Kanda ya ziwa yaliitea Mohamed trans, walikuwa wanajali sana wahudumu wao Kwa kukalia siti
Hiyo siti ipo kwa kila bus tena zipo mbili, hao hao makonda ndiyo wanaziuza wanakula na dereva.
 
Halafu traffic police wanakagua kila kituo kuona kama abiria wamekaa na wamefunga mikanda ya usalama
Alafu wakikuta abiria hawajafunga mkanda Makonda na dereva ndyo wanaulizwa, wao wanasahaulika.
 
Hivi gari mpaka iende na konda maana me ninavyojua sio lazima

Watu wanakaa level seat then kunakuwa na matangazo ndani ya gari ya vituo vya kushuka kuchimba dawa na nk

Africa kivyetu vyetu sizani Kama ni lazima Basi kuwa na kondacta hasa mabasi ya mikoani
Boss mbona unasagia kunguni nafasi za ajira ya watanzania wahitaji? Uwepo wa konda kwenye gari ni ajira kwa watanzania
 
Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.

Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa safari?

Gari ikielekea kugonga obviously dereva anaitoa upande wake na kuelekeza upande wa kushoto ambapo Makonda husimama, ajali ndogo ya kugonga inaweza kuondoka na maisha ya konda pekee.

View attachment 3168930


View attachment 3168932

Jana basi la Mallesas limegonga lori kwa nyuma, binti mrembo ambaye alikuwa ni konda akapoteza maisha papo hapo.

Apumzike kwa amani na Makonda wengine wachukue tahadhari kama sio kubadili utaratibu wa kukaa karibu na kioo cha gari.
wana siti zao
ila inasemekana huwa wanaziuza
 
No even a single extra passenger
Konda anakaa kwenye seat hata kama ni daladala
Abiria wote wanafunga mikanda ya usalama
Speed limit zinaheshimiwa sana
Overtake inafanyika kwenye sehemu zilizoruhusiwa tu na kila dereva anaheshimu hilo
Kama ni hivyo Rwanda wapo mbali sana, huku kwetu konda wa daladala anabembea kabisa mlangoni
 
Back
Top Bottom