Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #41
Ajabu kuna abiria huwa wanashangilia hizo mbioNa ving'amua speed vinazimwaga pia
Ikiwezekana gari isafiri na dereva pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu kuna abiria huwa wanashangilia hizo mbioNa ving'amua speed vinazimwaga pia
Ikiwezekana gari isafiri na dereva pekee
Hiyo siti ipo kwa kila bus tena zipo mbili, hao hao makonda ndiyo wanaziuza wanakula na dereva.Kuna siti maalum ya mhudumu, bahatibaya Kwa uroho huwa inauzwa.
Kuna mahari Kanda ya ziwa yaliitea Mohamed trans, walikuwa wanajali sana wahudumu wao Kwa kukalia siti
Alafu wakikuta abiria hawajafunga mkanda Makonda na dereva ndyo wanaulizwa, wao wanasahaulika.Halafu traffic police wanakagua kila kituo kuona kama abiria wamekaa na wamefunga mikanda ya usalama
Rwanda wametupita mbali sanaAlafu wakikuta abiria hawajafunga mkanda Makonda na dereva ndyo wanaulizwa, wao wanasahaulika.
Boss mbona unasagia kunguni nafasi za ajira ya watanzania wahitaji? Uwepo wa konda kwenye gari ni ajira kwa watanzaniaHivi gari mpaka iende na konda maana me ninavyojua sio lazima
Watu wanakaa level seat then kunakuwa na matangazo ndani ya gari ya vituo vya kushuka kuchimba dawa na nk
Africa kivyetu vyetu sizani Kama ni lazima Basi kuwa na kondacta hasa mabasi ya mikoani
Rwanda utaratibu wao upoje?Rwanda wametupita mbali sana
Mbona Dereva anakaa na halipii?ndo hivyo mkuu,
sasa konda akae kwenye siti atalipia?
nadhani labda ukondakta ni utaratibu wa huku afrika tu
No even a single extra passengerRwanda utaratibu wao upoje?
wana siti zaoImekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.
Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa safari?
Gari ikielekea kugonga obviously dereva anaitoa upande wake na kuelekeza upande wa kushoto ambapo Makonda husimama, ajali ndogo ya kugonga inaweza kuondoka na maisha ya konda pekee.
View attachment 3168930
View attachment 3168932
Jana basi la Mallesas limegonga lori kwa nyuma, binti mrembo ambaye alikuwa ni konda akapoteza maisha papo hapo.
Apumzike kwa amani na Makonda wengine wachukue tahadhari kama sio kubadili utaratibu wa kukaa karibu na kioo cha gari.
Kama ni hivyo Rwanda wapo mbali sana, huku kwetu konda wa daladala anabembea kabisa mlangoniNo even a single extra passenger
Konda anakaa kwenye seat hata kama ni daladala
Abiria wote wanafunga mikanda ya usalama
Speed limit zinaheshimiwa sana
Overtake inafanyika kwenye sehemu zilizoruhusiwa tu na kila dereva anaheshimu hilo
Lakni mbona wanakuwaga wengi, hizo siti zao zipo ngapi?wana siti zao
ila inasemekana huwa wanaziuza
Hata wewe kuna siku itakuona mzuri hiyo show siyo ya mchezoDahh ardhi inakulaga vitu vizuri wakuu
Sahihi kabisa, pia mamlaka zipige marufuku Makonda kuweka sura zao mbele ya kioo cha gari.Cha muhimu madereva kuzingatia sheria za barabara na pia serikali ijenge barabara pana zenye viwango.
hapo sasa sijuiLakni mbona wanakuwaga wengi, hizo siti zao zipo ngapi?
Kale ambako huwa kanakunjwa?Kuna kale kakiti kao ila mara nyingi huwa wanakiuza.