Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Kufa kupo tujiandaeHata wewe kuna siku itakuona mzuri hiyo show siyo ya mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa kupo tujiandaeHata wewe kuna siku itakuona mzuri hiyo show siyo ya mchezo
Nifike kesho yake lakini salama saliminiAjabu kuna abiria huwa wanashangilia hizo mbio
Njaa zinawaponza,basi karibu zote za kichina,kiti cha kwanza unapoingia upande wa kulia ni cha konda,lakini kwasababu ya njaa wanakiuza,halafu wanaamua kusimama pale mbele kitu ambacho ni hatari sana..Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.
Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa safari?
Gari ikielekea kugonga obviously dereva anaitoa upande wake na kuelekeza upande wa kushoto ambapo Makonda husimama, ajali ndogo ya kugonga inaweza kuondoka na maisha ya konda pekee.
View attachment 3168930
View attachment 3168932
Jana basi la Mallesas limegonga lori kwa nyuma, binti mrembo ambaye alikuwa ni konda akapoteza maisha papo hapo.
Apumzike kwa amani na Makonda wengine wachukue tahadhari kama sio kubadili utaratibu wa kukaa karibu na kioo cha gari.
Kisit makonda wengi wanauza ili wapate pesa pamoja na driver wake. Magari mengi sana hasa haya mapya ile seat huwa inaachwa kwa ajili ya konda na wala haingii kwenye mahesabu ya boss na hata kwenye chart haipo ila ndo ivyo makonda kujiongeza....Maboss wanaichukua, pale Dereva tyuuh ndo ana seat yake 7bu ni lazima.
Lakini wengine wanajiongeza wanakaa chini pembeni ya dereva kuna kisehemu huwa wanaweka foronya.
Pale gari ikipiga brake ghafla anajikuta yupo njeWengine baada ya kuuza ile seat yao, hulala pale kwenye engine..tena fofofo kabisa...Matajiri wa mabasi hebu jaribuni kujali wafanyakazi wenu
Inaenda tutafika huko. Kwa sasa gari nyingi za dar moro hazina konda.Ukipewa Abood/Shabiby devera uwe wewe uweke na kutoa mizigo kwenye buti, utatoboa?
Siti ya konda ipo.. ila yeye ni nani hata aikalie asiiuze au asisimame pale mbele maana sometimes hata bus halijajaa ila utakuta kasimama pale mbele au kakaa juu ya engine. Wanafanana tu tabia, mazoeaHiyo ina maana kwamba wamiliki wanajali maslahi yao binafsi, kwani wanashindwa kutenga siti mbili za mbele special kwa makonda?
Na huwezi waambiq kitu wakakuelewaSiti ya konda ipo.. ila yeye ni nani hata aikalie asiiuze au asisimame pale mbele maana sometimes hata bus halijajaa ila utakuta kasimama pale mbele au kakaa juu ya engine. Wanafanana tu tabia, mazoea
😆😆😆 binadamu likija suala la ubinafsi hafikiri mara mbili anakubanika vizuri tu.Una piga story na mtu vzuri tu ila kwenye hatari ya kifo ana kupelekea wewe yeye a save 😂😂
kabisa, konda nirahisi kumtimua ukaweka mwingine dereva hasa wa long route sio rahisi kupata replacement, konda anaweza toka na bus dar akafika moro akashushwa wakala akaendelea na safari.Boss mbona unasagia kunguni nafasi za ajira ya watanzania wahitaji? Uwepo wa konda kwenye gari ni ajira kwa watanzania
Sio mabasi yote mkuu, zile mbili huwa ni zao , mizigo ya njiani wanakaba, basi nyingine zinapakia njiani pesa haifiki kwa boss.Maboss wanaichukua, pale Dereva tyuuh ndo ana seat yake 7bu ni lazima.
Lakini wengine wanajiongeza wanakaa chini pembeni ya dereva kuna kisehemu huwa wanaweka foronya.
vyeo vinapishana mkuu kazi yeyote lazima iwe na,boss.Mbona Dereva anakaa na halipii?
Mkuu hiyo sababu ni ndogo sana kuepusha madhara endapo ajali itatokea.Sahihi kabisa, pia mamlaka zipige marufuku Makonda kuweka sura zao mbele ya kioo cha gari.
Hivyo vimiguu mnavyovirefusha ndio vinakuwa vya kwanza kupururwa,abiria ficha miguu yakoKiusalama sio sawa. Lakn kuna shangwe kubwa sana ukiwa hapo.
Ligi yote ya barabarani unaiona live, n kama kukaa VIP
View attachment 3168939