Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia wewe mwenyewe na ukamuombea shibe ukanufaika.

Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpinzani mkubwa wa Makonda kwenye mbio za ubunge wa jimbo la Kigamboni kuteuliwa kuwa Mkutugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Dr Faustine Ndungulile alikuwa anamnyima usingizi Makonda pale Kigamboni. Sasa jimbo liko wazi.

Katika siku za karibuni Makonda alipotea kwa takribani mwezi mzima kwa kisingizio kwamba alikuwa likizo. Sasa imebainika dhahiri kuwa hakuwa likizo bali alikuwa amejifungia mahali akifanya maombi na kufunga akimuombea Dr Ndungulile afanikiwe kuwa Mkurugenzi wa WHO amuachie jimbo. Maombi yake yametimia kwa 101%.

Pia mtakumbuka siku za karibuni Makonda alifanya maombi maalumu ya kuwa Waziri Mkuu mwaka 2025-2030. Maombi haya yalienda sanbamba na maombi ya kumuondoa Ndungulile pale Kigamboni. Mungu amejibu maombi 💯%.

Kwa mtaji huu, 2025 Makonda atapita kule Kigamboni bila kupingwa na atateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2025 hadi 2030

Mungu hamtupi mja wake na hajamtupa Makonda. Wale matomaso msioamini nguvu ya maombi na nguvu za Makonda katika maombi, sasa muanze kumsalimia kwa heshima. Ndiye Waziri mkuu ajaye. Shikamoo Mh Waziri Mkuu, Paul Christian Makonda! Wabeja kulumba Baba!
Ushabiki bila kutumia akili ni ujinga,huko unakompaisha Comred Makonda siko,Makonda ni mwanamikakati,elewa neno mwanamikakati,kumpa cheo hicho ni kufanya baadhi ya mambo yasiende
 
Akili zako ndo zimefika mwisho yani uyo kiazi ndo awe waziri mkuu ntasema bongo kweli tushajichokea huyo hakuna sehemu alienda akaleta impact zaid ya kuharbu afu analopo lopo sana anajionaga yeye anajua sana kuliko wenzie mjinga m1 kumbe katoka kijijni mjini wamemakarbisha kwa kufuta viatu vya akina ridh one.
 
Naona mnatumia nguvu Sana kumpigia debe huyu mtu, mnajisumbua bure.
Huyu mtu hana kabisa sifa za kuweza kuwa katika nyadhifa mnazopendekeza.

Kadiri mnavyozidi kumpigia debe ndivyo kadiri mnavyozidi kumchafua na kumharibia.
Unajuwa alikuwa wapi wakati ikisemekana kalishwa simu?

Lile jeshi Usu lililotembelewa na kuzinduliwa na Maza pale darubini ilipoangaliwa kinyume na Waziri

Nani aliliandaa jeshi lile kisiasa?
 
Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia wewe mwenyewe na ukamuombea shibe ukanufaika.

Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpinzani mkubwa wa Makonda kwenye mbio za ubunge wa jimbo la Kigamboni kuteuliwa kuwa Mkutugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Dr Faustine Ndungulile alikuwa anamnyima usingizi Makonda pale Kigamboni. Sasa jimbo liko wazi.

Katika siku za karibuni Makonda alipotea kwa takribani mwezi mzima kwa kisingizio kwamba alikuwa likizo. Sasa imebainika dhahiri kuwa hakuwa likizo bali alikuwa amejifungia mahali akifanya maombi na kufunga akimuombea Dr Ndungulile afanikiwe kuwa Mkurugenzi wa WHO amuachie jimbo. Maombi yake yametimia kwa 101%.

Pia mtakumbuka siku za karibuni Makonda alifanya maombi maalumu ya kuwa Waziri Mkuu mwaka 2025-2030. Maombi haya yalienda sanbamba na maombi ya kumuondoa Ndungulile pale Kigamboni. Mungu amejibu maombi 💯%.

Kwa mtaji huu, 2025 Makonda atapita kule Kigamboni bila kupingwa na atateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2025 hadi 2030

Mungu hamtupi mja wake na hajamtupa Makonda. Wale matomaso msioamini nguvu ya maombi na nguvu za Makonda katika maombi, sasa muanze kumsalimia kwa heshima. Ndiye Waziri mkuu ajaye. Shikamoo Mh Waziri Mkuu, Paul Christian Makonda! Wabeja kulumba Baba!
Hivi huyo uliyemtaja anajua hata lugha za Kimataifa ukiacha Kiswahili?
Je, kule waliko-mblack list wamemuachia?
Je, ni kipi alishaanzisha kikalete tija?
Au hayo yote si ya msingi?
 
Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia wewe mwenyewe na ukamuombea shibe ukanufaika.

Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpinzani mkubwa wa Makonda kwenye mbio za ubunge wa jimbo la Kigamboni kuteuliwa kuwa Mkutugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Dr Faustine Ndungulile alikuwa anamnyima usingizi Makonda pale Kigamboni. Sasa jimbo liko wazi.

Katika siku za karibuni Makonda alipotea kwa takribani mwezi mzima kwa kisingizio kwamba alikuwa likizo. Sasa imebainika dhahiri kuwa hakuwa likizo bali alikuwa amejifungia mahali akifanya maombi na kufunga akimuombea Dr Ndungulile afanikiwe kuwa Mkurugenzi wa WHO amuachie jimbo. Maombi yake yametimia kwa 101%.

Pia mtakumbuka siku za karibuni Makonda alifanya maombi maalumu ya kuwa Waziri Mkuu mwaka 2025-2030. Maombi haya yalienda sanbamba na maombi ya kumuondoa Ndungulile pale Kigamboni. Mungu amejibu maombi 💯%.

Kwa mtaji huu, 2025 Makonda atapita kule Kigamboni bila kupingwa na atateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2025 hadi 2030

Mungu hamtupi mja wake na hajamtupa Makonda. Wale matomaso msioamini nguvu ya maombi na nguvu za Makonda katika maombi, sasa muanze kumsalimia kwa heshima. Ndiye Waziri mkuu ajaye. Shikamoo Mh Waziri Mkuu, Paul Christian Makonda! Wabeja kulumba Baba!
Unajua kwamba makonda Bado ni most wanted huko ughaibuni??
 
Back
Top Bottom