Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

Ushabiki bila kutumia akili ni ujinga,huko unakompaisha Comred Makonda siko,Makonda ni mwanamikakati,elewa neno mwanamikakati,kumpa cheo hicho ni kufanya baadhi ya mambo yasiende
 
Akili zako ndo zimefika mwisho yani uyo kiazi ndo awe waziri mkuu ntasema bongo kweli tushajichokea huyo hakuna sehemu alienda akaleta impact zaid ya kuharbu afu analopo lopo sana anajionaga yeye anajua sana kuliko wenzie mjinga m1 kumbe katoka kijijni mjini wamemakarbisha kwa kufuta viatu vya akina ridh one.
 
Naona mnatumia nguvu Sana kumpigia debe huyu mtu, mnajisumbua bure.
Huyu mtu hana kabisa sifa za kuweza kuwa katika nyadhifa mnazopendekeza.

Kadiri mnavyozidi kumpigia debe ndivyo kadiri mnavyozidi kumchafua na kumharibia.
Unajuwa alikuwa wapi wakati ikisemekana kalishwa simu?

Lile jeshi Usu lililotembelewa na kuzinduliwa na Maza pale darubini ilipoangaliwa kinyume na Waziri

Nani aliliandaa jeshi lile kisiasa?
 
Hivi huyo uliyemtaja anajua hata lugha za Kimataifa ukiacha Kiswahili?
Je, kule waliko-mblack list wamemuachia?
Je, ni kipi alishaanzisha kikalete tija?
Au hayo yote si ya msingi?
 
Unajua kwamba makonda Bado ni most wanted huko ughaibuni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…