Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

Kwako britanicca imekaaje hii ?😄
 
Kama uchaguzi utafanyika na uhai uwepo Waziri mkuu huenda akawa,
1. George Simbachawene.

2. Dotto Biteko.

3. Anthony Mtaka.

4. Balozi wa Korea Kusini.
 
Your wishes! Akitoka nje amedakwa na CIA kwa kudhulumu uhai wa binadamu!
MAREKANI YENYEWE IMEWADHULUMU WATU HAKI YA KUISHI KULE UKRAINE,LIBYA,NK.SASA SIJAJUA NANI ATAMDAKA MWENZAKE.HALAFU SIYO LAZIMA UKISHS KUWA KIONGOZI UENDE KUZURULA MATAIFA YA MASHOGA
 
Shida wivu wa watu .sokoine,magufuli,filikunjombe,sanane ,lisu
 
Rais anaweza kuwa
1. Mh; Samia Suluhu Hassan.
2. Mh; Zitto Zubery Kabwe.
3. Mh; Innocent Bashungwa
4. Mh; January Makamba.
5. Mh; Tundu Antipas Lissu.
6. Mh; William Lukuvi.
Mkuu naona Makonda umemuondoa kwenye urais na umemyondoa kwenye uwaziri mkuu. Basi atakuwa Makamu wa Rais.
 
Naona mnatumia nguvu Sana kumpigia debe huyu mtu, mnajisumbua bure.
Huyu mtu hana kabisa sifa za kuweza kuwa katika nyadhifa mnazopendekeza.

Kadiri mnavyozidi kumpigia debe ndivyo kadiri mnavyozidi kumchafua na kumharibia.
Makonda ana mambo mengi sana ya kujifunza na kufundwa ili aweze kuwa kiongozi mzuri. Inawezekana ana uthubutu lakini anakosa skills nyingi za muhimu za kupewa wadhifa wa juu kama huo. Hekima, busara, na utu ni silaha muhimu sana, bahati mbaya amekuwa mgumu sana kujifunza.
 
Sio kizimkazi huyu. Yule sasa hivi anapiga mishe za chini kwa chini. Hamuoni karudi na matukio yanavuma? Mlizusha anaumwa kumbe mwamba alikua kwenye spesho misheni dah.
 
Kwani uchaguzi tayari?
 
Kwani uchaguzi tayari?
 
Mkuu naona Makonda umemuondoa kwenye urais na umemyondoa kwenye uwaziri mkuu. Basi atakuwa Makamu wa Rais.
2014 nilikuwa kwenye barbershop fulana kwa ajili ya kukata nywele,
Kinyozi mmoja akawa anasema rais wa 201 5 ni Bernard Membe, tutake tusitake, akadai amehakikishiwa na dereva wa mtia nia, kiti anaenda kukalia.
Je 2015 kiti hicho alipewa???
 
Mkuu naona Makonda umemuondoa kwenye urais na umemyondoa kwenye uwaziri mkuu. Basi atakuwa Makamu wa Rais.
Kuelekea uchaguzi mkuu 2020 kulikuwa na maneno mengi, oooo Makonda anaenda kugombea ubunge kisha ndiye Waziri wa mambo ya ndani mara ndiye atakuwa Spika...... Maneno mengi mengi, je alioupata huo Ubunge hata wa viti maalum?
Km uhai upo utabiri wangu labda aanze na uwaziri kwenye wizara mojawapo kisha hivyo vyeo unavyosema huko mbeleni Km uhai tungali tunao.
 
Mwaka 2020 Ndungulile alimfanyia figisu. Sasa hivi atapita bila kupingwa na nafasi yake ya uwaziri mkuu ipo palepale. Hakuna mtu wa kumzuia. Ameanza na Mungu, atamaliza na Mungu

Cc
ChoiceVariable MamaSamia2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…