Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

Un
 
nchi bana. vijana machawa tu. hujui kasoma humjui aliekuwa hajasoma
Tumtegemee tu Imaam Hussein hamna namna kwasababu yake tumepewa Tawfiq/Tawfeek (The ability and opportunity to succeed) zakutosha na tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.

Allah azidi kumfanyia wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali (AS).
 
Mwaka 2020 Ndungulile alimfanyia figisu. Sasa hivi atapita bila kupingwa na nafasi yake ya uwaziri mkuu ipo palepale. Hakuna mtu wa kumzuia. Ameanza na Mungu, atamaliza na Mungu

Cc
ChoiceVariable MamaSamia2025
Mkuu tpaul unasema atakuwa Waziri mkuu, swali langu ni hili,
Mwenye mamlaka ya kumteua waziri mkuu ni Rais mteule au nani?
 
Kwani uchaguzi tayari?
Ndio maana nimesema atakuwa PM kuanzia 2025-2030 mkuu. Uchaguzi ni 2025 na pale Kigamboni atapita bila kupingwa kwa kuwa Ndungulile ndiye aliyekuwa anamzibia riziki na sasa hatakuwepo tena.
 
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan amekwambia hivyo kwamba watamchagua Makonda atakuwa Waziri mkuu?
Samia ni nani hadi ampangie Makonda cheo? Makonda ameishafunga akimuomba Mungu ampe cheo cha uwaziri mkuu na Mungu ameishajibu maombi.

Kwa taarifa yako, Makonda hamtegemei mwanadamu ampe mafanikio. Ameishaongea na Mungu kitambo sana. Anasubiri tu muda ufike acnukue cheo chake kipya. Umeelewa?
 
Hata shetani anaitwa mungu wa dunia hii, sijui unakusudia Mungu yupi?
 
Unapoteza Muda
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha tukisema ni muuaji tutakosea?

Kama sio muuaji basi amfungulie kesi Lissu kwa kusemja kwamba aliongiza genge la kutaka kumuua.

SHETANI BASHITE!
 
Tutakwisha aisee hivi tu watu wanateseka aje kua Pm?tuendelee kuomba MUNGU afanye jambo🥺
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…