johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Manka usiende mjini bila malengo utakutana na rungu!Usishangae hawa wazururaji kuwa Chadema na ACT
Kwan we hautakuna naloManka usiende mjini bila malengo utakutana na rungu!
Mimi nina kitambulisho na kadi zote muhimu bwashee!
Hili jamaa Hakika ni shamba sana na halina hekma hata chembe! Kuna watu wa Lumumba wanamsifia kwa maagizo ya kijinga! Mtu amekataliwa na nchi kama Marekani kutokana na upuuzi wake halafu wajinga fulani wanamsifia!Tofauti ya mwamri wa tabora na bashite ni kwamba mwamri anafwatilia mambo ya msingi ili apate sifa ila bashite anafwatilia mambo ya kipuuzi ili apate sifa (za kijinga).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kweli mtu anaweza kutoka nyumbani kwake kwenda mjini bila sababu yoyote?Manka usiende mjini bila malengo utakutana na rungu!
Hakuna binadamu yeyote anapenda kuzurura hovyo...jua kali, joto la DSM namna hii eti uende kariakoo ama posta kuzurura bure hakuna kitu kama hicho...Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda amesema watu watakaokamatwa wakizurura jijini Dar watawajibishwa kwa kuzibua mifereji, kufyeka nyasi, kufagia barabara na kufanya kazi nyingine za usafi.
Makonda amesema hatawaweka mahabusu wazururaji kwa ajili ya kuepusha msongamano wakati huu wa Corona.
Hivyo RC amesisitiza kama mtu anatoka nyumbani kwake na kwenda mjini bila malengo ya msingi basi ajiandae kukutana na Rungu la Makonda.
Source Eatv habari!
Watalenga Vijana kwa sababu wanajua Vijana wengi ni Chadema au ACT.Sasa watajuaje Kama mtu huyu ni mzuraraji na yule si mzururaji? Mwaka huu tutaona mengi[emoji28][emoji28][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa we pekee ndiyo unazooMimi nina kitambulisho na kadi zote muhimu bwashee!
Huyu ameshafeli kabla hata hajaanza.Hivi ni kweli mtu anaweza kutoka nyumbani kwake kwenda mjini bila sababu yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee unakariri sanaManka usiende mjini bila malengo utakutana na rungu!