The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kisheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisheria
By the people,for the peopleGovernment Of The People,
Hilo alifeli kabla ya kuanza.Kuwapima tezi dume wanaume wote wa dar.
Nimekuelewa bwashee!Tatizo sio hiyo amri bali tatizo ni wapokeaji na watekelezaji wa hiyo amri..
Viongozi wetu kuna mahala wanajisahau na kufikiri wanaowaongoza na watendaji wao ni raia wa Europe na USA kumbe ni watanzania wa buguruni, manzese, tandale, tandika nk..
Kuna wakati lazima watawala watambua wanaongoza jamii masikini ambayo haijastaarabika na pia lazima watambue aina ya watu waliowaajiri kwenye hayo majeshi na athari zitakazotokea kwenye kila amri watoayo...
Huyu ameshafeli kabla hata hajaanza.
Unaweza kuwa na sababu lakini siyo ya msingi!