We utakuwa wa kishuaNilijaribu supu ya ubongo wa ng'ombe nilishindwa kuimaliza. Kichefu chefu kilipanda mpaka puani. Mwe. Mnajirahidi mnaoiweza, nyie hamna mtakachoshindwa kula duniani.
Kauli za watu vijijini ..Kichwa kikubwa ila akili hauna.!Afya yako mgogoro mkuu.
Watu kama wewe mnakuaga na magonjwa nyemelezi mara kwa mara, kipindupindu kikiibuka nyie ndo chap mnakumbwa.
😄 🤣 😂. Hebu nielekeze huko unapopasema panafaa. Je kongoro linaandaliwa bila kushikwa kwa mikono?? Je vyombo vinaoshwa na maji ya moto kisha kusuuzwa kwenye maji tiririka/bomba???.Kumbe mkuu unakula sehemu chafu chafu, Nenda kale Chakula sehemu za maana, kwenye mazingira mazuri, unaenda kula unakaa kwenye bechi au viti vya plastick vimechoka mpaka vimeshonwa, utegemee ule chakula kizuri.
Nenda kale sehemu za migahawa ya maana ama baa, sehemu kama hizo zina maji ya kutosha hivyo hata usafi huzingatiwa kwa kiasi kikubwa, ila unaenda kula mtu anatumia ndoo moja ya maji, vyombo vya plastick, unauzia pembezoni mwa barabara, utegemee usafi, kongoro linalouziwa mazingira mazuri hata bei, iko juu kidogo.
🤣🤣🤣🤣🤣Ipo mpaka supu y’a mawe
Makongoro sawa,ila ngozi ya ng'ombe kuliwa mbona kitu kipya kwangu!!!!!?Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
Shida siyo kushikwa kwa mkono, mikono inayoshikwa mkono maana, mtu alieshika wakati wa kuandaa alinawa kwanza mikono, maana wakati wa kuanda vyakula vingi, ni ngumu kuto shika kwa mkono. Mchele mtu atachagua kwa mkono, mchicha utakatwa kutumia mkono, nyama ya mchuzi vipande hukatwa kushikwa kwa mkono tena toka buchani.😄 🤣 😂. Hebu nielekeze huko unapopasema panafaa. Je kongoro linaandaliwa bila kushikwa kwa mikono?? Je vyombo vinaoshwa na maji ya moto kisha kusuuzwa kwenye maji tiririka/bomba???.
Kimsingi wewe elewa tu kuwa huko kote unapokula supu NI WACHAFU SANA NA UMESHAKULA SANA SUPU ZILIZOBAKIZWA NA WATEJA. NITAKIJE BAA UNAYOIAMINI ILI NIKAIFANYIE KAZI NIKULETEE JIBU. HATA CLIP YA TUKIO NAKULETEA
Ndo ukweli huo, chunguza afya yako kijana.Kauli za watu vijijini ..Kichwa kikubwa ila akili hauna.!
Wakuja baki kijijini na ushamba wako😂😂...unakula kila kitu wewe ni binadamu sio nguruwe ndo hachagui kitu.Ndo ukweli huo, chunguza afya yako kijana.
Mara hiki huli, kile hili kichafu, hiki huli kimeandaliwa vibaya, kile huli kina kitunguu. Huwa mnaishi kwa vidonge tu maana miili inakosa vitu vingi mwisho ni full kuumwa umwa.
Pole sana mkuu.
Kwa ulimi hata mimi nilishangaa kidogo, kwa US ulimi ni kama 45$ grocery, na ngozi tena ya kitimoto inatumika kutengneza pork skin chips na inapendwa sanayaani makongoro na ulimi ndyo mnaita madude? kuweni na heshima basi
kuna mahali supu ya ulimi ni 6000 kongoro buku tano
ni supu moja amaizing....usirudie kuyaita madude tena ukome kabisa
Wanasema wala makongoro ndiyo hunenepeana sana na kutafsiriwa kuwa wana afya boraTanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao
Kongoro na chips? Utakuwa una kitambi kikubwa sanaKongoro + ndizi
Kongoro + chips kavu
Tuanzishe kiwanda cha kutengeneza hivi vituKwa ulimi hata mimi nilishangaa kidogo, kwa US ulimi ni kama 45$ grocery, na ngozi tena ya kitimoto inatumika kutengneza pork skin chips na inapendwa sana
View attachment 2736734
Hahahaha,nimeanza mazoeziKongoro na chips? Utakuwa una kitambi kikubwa sana
Kongoro hainenepeshi ile ni protein tupu, zile beer na mikate mnazokula na kongoro ndio vitambi vitupuWanasema wala makongoro ndiyo hunenepeana sana na kutafsiriwa kuwa wana afya bora