Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
We utakuwa wa kishuaNilijaribu supu ya ubongo wa ng'ombe nilishindwa kuimaliza. Kichefu chefu kilipanda mpaka puani. Mwe. Mnajirahidi mnaoiweza, nyie hamna mtakachoshindwa kula duniani.
Sisi huku Dom kuna chimbo wanauza supu ya ngozi yaani haijalishi ni ngozi ya nini hata iwe imewambwa kwenye ngoma za shule itabanduliwa na kutengenezwa kitaalamu mpaka iwe supu ukionja huwezi kuacha!
Hapo bado hujakutana na supu ya pumbu