Makongoro Nyerere akutana na Jenerali David Musuguri

Hata Lowasa kwenye hotuba yake alisema alishiriki vita vya Kagera

Kuna Nchi Nyingi dunuani zinazofuata mfumo wa kiusalama wa china ,Russia ,Israel,USA ,etc ..Tanzania ni moja wapo ambapo sifa za kiongozi ni ...Elimu ,Itikadi, na Usalama .....
KATIKA mfumo Kama Huo Mtu ambaye Hana sifa hizo Huwa wala haangaiki ....Ndio Maana karibuni ilibidi kikwete apaleke Baadhi ya viongozi mafunzo ya ukakamavu kwa kuwa unaweza kuleta tatizo baadaye kwenye succession plan ,...zamani wakati wa Mwalimu alikuwa anakazanja hivyo vitu vitatu kuandaa viongozi na Ndio agizo aliloliacha

Kwa mwaka Huu ambayo wana sifa hizo Tatu ni Makongoro,Lowassa ...
Membe anaingia kwa kuelewa usalama ....lakini wenzake wamemzidi kwa kuwa walipigana mstari wa Mbele
 

Mkuu analysis yako imekaa vizuri. Ila badirisha pale miaka 18, hapo umelopoka bila kutumia data. Makongoro alishazidi miaka 18 wakati anaingia Jeshi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Yaap, umeandika vizuri, walikuwa wapi? Wanadhani tumesahau, na wanajitahidi tuzidi kusahau. Jamani bila CCM inawezekana.
 
Meli mbili za kivita tulizonunua kutoka China hivi karibuni zina majina gani na vilipokelewa na kukaguliwa na naini? Huyo ndie THE NEXT COMMANDER IN CHIEF
 

  • :becky:

  • :becky:

  • :becky:

  • :becky:

  • :becky:
 
Kweli sina hakika kama kushiriki vita vya kagera ndo sifa ya uongozi
zumbemkuu kwanza habar za asbh??
pili nimekumiss sana kule kwetu siku hizi naona umetuacha na akina Zakumi et al

well nirudi kwenye mada, ninachojiuliza kila iitwapo leo, hivi sisi kama wananchi tunazo standards za quality za rais tunayemtaka?

je hivi sisi kama raia and am talking as a very layman person here, what shall be the very attributes that i should anticipate to the coming leader?
hivi sifa za kwamba alipigana vita vya kagera vinafaa kweli kuwa sifa? Makongoro kasemwa alipigana vita, Lowassa nimepigana vita Wassira nimepigana vita sasa should we assume that war is coming so we are going to elect a person ambaye ataenda front line kutupigania?

je kuambiwa kwamba mtu ni mchumi mzuri, ana elimu ya diplomasia sijui ni mwana hitoria mzuri vinatosha kutufanya kumpata kiongozi bora na makin tunayemtaka?

mbona swala la elimu kwenye katiba liko kwamba awe na elimu ya sekondari, awe ana miaka isiyopungua 45 sijui lkn sifa hizi bado pia ni finyu sana za kusema tumzitumie kumpata rais wa nchi hii.

Hebu hapa kwanza kabisa tujadili jaman tunamtaka rais wa nchi hii awe na sifa zipi? na hapa tujiwekee records ambazo ni rahisi kuzivalidate, mfano ukisema familia yakie imeish maisha ambayo ni humble haina maana kwamba watoto wa familia wote ni humble wanaweza wakawepo ambao sio humble pia na wakajificha chin ya sifa nzuri za familia.

Labda unisaidia jambo hapa brodah!!..............sisi kama raia tulioko huku usweken ambao ukweli hata elimu tu ni shida lkn tunataka kumchagua rais je tumchague kwa kufuata chama, ama mtu, ama anavyopigiwa makofi mengi, ama jina lake ebu nisaidie tutatumia nini hasa kama standards kwenye hili?
 
Last edited by a moderator:

bro kwani JK yeye ni mtoto wa nani??? komaa nawe uje kuwa rais siku moja ili mwanao nawe aingie kwenye foleni!!
 

huyo RIDHIWAN ataingia kwa sifa zipi? afadhali hussein MWINYI
 
Mkuu gfsonwin umenifanya nifikirishe kichwa changu zaidi, kuwa huenda awamu ijayo vionambali vimeonyesha kutakuwa na vita hivyo anahitajika mjeshi ikulu, nnachojiuliza Mwl. Nyerere alipigana vita gani kabla ya kuwa rais? Mwinyi, mkapa??

Hiki kigezo cha ujeshi kinanipa mashaka sana, sasa hiyo sifa ya kusoma diplomasia wakati huo huo kushiriki vita ya kagera ndo inaniumiza kichwa zaid, waliosoma hiyo diplomasia wanajua zaid, mie fundi mchundo ngoja
nijinyamazie tu niendelee kuona mazingaombwe hadi October 2015,

Swali la kizushi mkuu, umekata tiketi ya usafiri gani? Au na wewe utatangaza safari ya matumaini nije kukuunga mkono?
 
Mkuu gfsonwin baadhi ya maswali yako kweli sitaweza kuyajibu kwa sasa, bado naugua ugonjwa wa mdanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Mimi namuunga mkono makongoro naamini atapta njia za mzee
 
kwakweli hii nchi tunakazi sana
raia hatujui tunachotaka, hatuna vipaumbele vyetu sisi kama raia, hatujui hata tunaelekea wapi
napata picha kwamba kile kitu cha mie nikiamka naenda job jion narudi na mkate wa watt basi kimenitosha sihitaj kitu zaid ya hapo. hata hawa wanaharakat wetu hawajaweza kutuelimisha kuhusu nini ziwe sifa za rais tunayemtaka.......

swali lako la kizush jibu lake ni hili.............Mpaka sasa ata kadi ya kupiga kura sina wenzangu waende wakamchague manake sijui naenda kuchagua nini.
BTW hivi DSM inaandikisha lin wapiga kura?
 

'' BTW hivi DSM inaandikisha lin wapiga kura''

Umeuliza swali la kitaalamu sana mwanangu, linahitaji majibu ya kitaalam, ngoja tusubiri wataalamu wetu waje watujibu.
Cc, @nape nauye , JJ Mnyika , hamisi Kigwangala , Tumaini Makene , Zitto ,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…