Makongoro Nyerere akutana na Jenerali David Musuguri


Mkuu na wewe vile vile huna haki ya kutuamininisha hivyo hapo kwa red

Ila ujue hizi exaggerations zenu zinawaharibia hasa kwa watu neutral
 
Zakumi nafurah kwamba nimekuona huku, leo.
jaman chonde chonde usiondoke kule manake sasa ukiondoka wewe tutabak na nani tena?

BTW mpaka sasa kuna kitu ambacho hakiko sawa kwa watanzania nacho ni wengi wetu hatujui sifa za rais wa nchi hii zinatakiwa ziwe zipi. hizi za kikatiba ni zile za ujumla lkn wasifu wa ndani je tunataka mtu yupi?
hilo bado ni changamoto na sijui kama media na wanaharakati wameweza kutoa elimu ya uraia ya kutosha kwa raia kwa muda huu uliobaki.
 
Last edited by a moderator:

Hutaelewa kama ni mpiga mbinja wa Mafisadi..!! Jaribu kujibu au waambie wakusaidie kujibu maswai haya??

Watia nia waccm ni lini wamejipambanua kwetu kuwa wapinga UFISADI?

Kama walijua kuna UFISADI kwanini walikaa kimya mpaka wasubiri siku ya kutangaza nia?

Ufisadi umetokea wao wakiwa ndani ya system.. sasa kama wao wenyewe ni sehemu ya tatizo na wanataka kubebesha Kikwete zigo lote la uozo hawa watu kama si WANAFIKI tuwape sifa gani?

Hivi unatumia kigezo gani kwa hawa watu kwa dhati ya moyo wao kuwa na uwezo wa kupambana na UFISADI?
 
Kule ndiko wapi? Niambieni na mimi jamani nikamfuate Zakumi kule kwani huyu ni mtani wangu wa jadi.
 

Mkuu toka mtoke ikulu kipindi cha mshua wako ulishawahi kwendapo tena hata misele tu? Sasa muda si mrefu utakuwa unaenda utakavyo kusabahi broo
 

Hakuna ubaya, ni haki ya kila mtu kikatiba hata na wewe tangaza tu. sijui utasema nini utakaposikia Salma Kikwete akitangaza
 
Moja ya sifa ya kuchaguliwa kushika nchi,kwa nchi nyingi duniani,ni kushiriki vita vyevyote vya nchi yako ukipambana mstari wa mbele. Ingawa hii si sifa pekee balo inalipa. USA na Israel wanajali sana hilo. Lets see!
 

Back in the day, I was a regular here. But the democratization of the forum, forced some of us kung'atuka.

Baada ya Lowassa kuachia uwaziri mkuu niliandika article kusema kuwa watanzania washukuru their lucky star kwa sababu pamoja na kuwa kashfa ya Richmond ililingizia taifa hasara, ilizima matumaini ya Lowassa kuwa rais. Kutokana mizunguko ya kidunia sikuifanyia editing na sikupata nafasi ya kui-posti.

Vipimo vya matukio vinaonyesha kuwa leo hii Lowassa ana nafasi kama wagombea wengine kuwa rais. Na inawezekana anayo nafasi kubwa ya kuwa rais iwapo CCM itampitisha. Je Lowassa amefanya kitu gani cha maana toka aachie ngazi? Zaidi ya kutoa michango ajafanya chochote kile.

Hivyo ukinipata choice, I will go with Makongoro. Whether he's qualified or not, it doesn't matter to me.
 
Andrew Nyerere. Ingawa sijakutana na Mako siku nyingi sana tangu mwaka 1978 alipomaliza form 6 pale TS na kutuachia Kkizigo Jazz yetu, bado ninamuamini sana. Hata kama hapo katikati alifanya mambo ya kipuuzi- kama wengi wetu tulivyofanya kabla ya kutulia na kuwa watu tunaoaminiwa leo katika taaluma zetu- nina imani ana organization na supervison abilities kubwa sana tunazohitaji kwa kiongozi wa Tanzania leo hii.
 
Last edited by a moderator:
Moja ya sifa ya kuchaguliwa kushika nchi,kwa nchi nyingi duniani,ni kushiriki vita vyevyote vya nchi yako ukipambana mstari wa mbele. Ingawa hii si sifa pekee balo inalipa. USA na Israel wanajali sana hilo. Lets see!

Not entirely true, miaka ya vita vya Vietname na kurudi nyuma, kulikuwa na draft ya kujiunga na jeshi nchini Marekani. Na karibu kila kijana alijiunga na jeshi na kupigana. Hivyo kuwa na military credentials ilisaidia katika siasa na zaidi ya nusu ya wanasiasa ilikuwa na uzoefu wa kijeshi na vita.

Wanasiasa wengi wa sasa wa Marekani wana digrii za sheria na hawana uzoefu wa jeshi au kivita.

Kuhusu Israel, kila kijana anatakiwa aende jeshini, na wasioenda wanasababu maalumu. Hivyo karibu kila mwanasiasa kule ni mwanajeshi. Na kutokana na vita vya mara kwa mara na waarabu, kila mtu ana experience ya vita. Hivyo kwenda jeshi na vitani sio ujiko mkubwa kule. Ujiko ni achievement yako kama mwanajeshi au raia.

Hawa wagombeaji wa Tanzania watuambie walipokuwa jeshini walifanya nini? Je walikuwa section or platoon commanders? Au walikuwi wapishi?
 
Kule ndiko wapi? Niambieni na mimi jamani nikamfuate Zakumi kule kwani huyu ni mtani wangu wa jadi.

Nipo Jasusi. Napenda ufalme. Makongoro - Rais. Hussein Mwinyi - Makamu. Joseph Sokoine- Prime Minister. List ya 1983-1984.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…