Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

Kiufupi anasema Mwenge unanajisi kumbukizi ya Baba yake.
 
Bajeti ya kukimbiza mwenge wa Uhuru mwaka 2024 ni Tsh ngapi?

2. Kwanini serikali inaomba fedha zakukimbiza mwenge mitaani, na kwa watukishi wa Umma kama bajeti hiyo ipo?

3. Ni nani anaratibu mapato na matumizi ya mbio za mwenge wa uhuru?
 
Ajiandae kufurushwa
 
Hicho ni kilio cha Mohamed Said
 
Hivi Nyerere alipigania uhuru gani. Semeni alienda kuchukua uhuru kwa niaba ya watanzania na sio kuupigania coz uhuru wa Tanzania ulikuwa mezani. Uhuru wa nchi mbalimbali ulikuwa mezani baada ya wakoloni kujua ni muda Sasa wa kuachia makoloni na kuja kukolonize kivingine.
 
Uhuru so chombo fulani kwamba ukipanda juu ya mti unakiona kileeee,halafu unashuka na kuanza kukipigania.Uhuru ulitafutwa/kupiganiwa kwa njia tofautitofauti.Hiyo ya kukaa na kupatana au mikutano ikiwa mojawapo ukiacha ile ya mapambano ya silaha kutegemea unatumia akili au miguvu.
 
 
Wewe jiulize kwanini uhuru wa nchi nyingi za kiafrika ulianza kupatikana by 1960... Na kwanini isiwe 1930,, 1940. Wakoloni walijua ni muda wa kuachia makoloni Yao. Huwezi sema Nyerere alipigania uhuru, uhuru ulikuwa mezani ni nani ashawishi kuuchukua tu
 
Siyo kweli

Unapoandika sio kweli, je ushawahi kuona mtu kafa na karudi kuendeleza alipoishia?

Mhubiri 9
5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
 
Na hayo pia ni mawazo yako.Tunapoelekea utatueleza kwamba,kama ungezaliwa na early 1930s ingekukuta,basi ungepambania uhuru wa Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…