Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

Yesu Kristu alikufa akafufuka
Unapoandika sio kweli, je ushawahi kuona mtu kafa na karudi kuendeleza alipoishia?

Mhubiri 9
5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
 
Kuna vitu havina hata manufaa yoyote. Iwepo Nyerere day au isiwepo haisaidii kitu.


Mambo mangapi ya muhimu aliacha Nyerere yamefutwa?

Sasa hivi hata Hotuba za Nyerere TV zinakwepa, suese hiyo Nyerere day
 
Naye asione kuwa baba ake ndiyo mmiliki wa Tanzania kumbe alituachia matatizo kibao
 
Huu mwenge haua faida yoyote zaidi ya hasara na laana kwa taifa kwa uchafu unaondelelea kila sehemu unakopita na kulala.
 
Kila mahala Panapo fanyika mkesha wa mwenge asubuhi yake kunaokotwa mamia ya condom zilizotumika kwa nini?
Au inakua ni kuazimisha ngono salama?
 
Kinachoniudhi ni viongozi kusema tuyaishi maisha ya Mwalimu huku wakiishi maisha ya anasa kwa fedha ya serkali.Kwa mfano mishahara mikubwa magari makubwa (v8)maposho makubwa,misururu ya magari mikubwa,nk huku maisha kwa wananchi yakiendelea kuwa magumu.Mwal hakufanya anasa hizo
 
inafanana na Baba yetu wa Taifa kweli au tumepigwa mchana kweupe?

Makongoro atuambie kama inafanana na baba yake!
 

Attachments

  • nyerere.jpeg
    117.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…