Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umri huo utakuaje na makuu wakati kila kitu una letewa na watoto wako privelleged?Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao ya wenza wa marais.
"Mama Maria Nyerere kama siku 14 zilizopita nilipata taarifa kutoka kwa shemeji zangu ambao aliwaita, akasema kwamba angependa kumkumbuka marehemu mume wake akiwa na watu kadhaa, Mama Maria Nyerere hana makuu yeye alitaka jambo dogo tu,"- Makongoro Nyerere
#Miaka100YaMwlNyerere.
View attachment 2197480
Acha kumbagaza, hana hiyo roho ya tamaa.Salma angekuwa Mke wa Hayati Julius Nyerere labda angetaka atokee kwny note ya elf 5 ili kuenzi kazi yake nzito ya u first lady ya miaka 23
Hata kipindi nyerere yupo madarakani alikuwa mama Maria hakuwa na say yoyote.Kwa umri huo utakuaje na makuu wakati kila kitu una letewa na watoto wako privelleged?
Mama Salma huyuhuyu wa mambo yake ya clearing kule TPA?Acha kumbagaza, hana hiyo roho ya tamaa.
Bulembo alijitoa ufahamu makusudi ili kumfurahisha yule 'jamaa'.Bulembo wa CCM mfano alioza mwanawe mbunge kwa mbunge Zitto Kabwe
Siku hiyo akalipuka bungeni kuwa Zitto kabwe mkwewe anastahili kuuawa !! Wote wakiwa bungeni!! Baba mkwe anamtangazia mkwewe Zitto kabwe kifo!!!
Na hata sasa anajitoa ufahamu kumfurahisha mamaBulembo alijitoa ufahamu makusudi ili kumfurahisha yule 'jamaa'.
Tulipopata Uhuru walikua bado wadogo, kwa miaka 23 ya utawala wa baba yao maisha yao yalikua ni kuchagua menu, kuchagua gari, na kuchagua dereva. Usiwalaumu.Changudo la kujiuza kwa watoto wa Nyerere wana nini cha maana? Hawana pesa wala maisha kula kulala kwa mama yao najiuza kwa ajili ya jina au ?
Makongoro mwenyewe alimwambia mama Samia kuwa uteuzi kapewa ukiuliza kufanya nini kikubwa unaambiwa mtoto wa Nyerere!!
Kwa hiyo nijiuze kwa jina tu kuwa huyu familia ya Nyerere!!!??
Mkewe Makongoro alimkimbia baada ya kuona kuolewa na jina la mtoto wa Nyerere kumbe hamna kitu!! Utakula Jina? Wakati wao wenyewe kula kulala kwa bili mama yao Maria Nyerere watampa nini changudoa wakati hata pa kulala pa kwao hawana wanalala kwa mama yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaonekana likua ni wale Wamama wa nyumbani wasio na sauti , kazi ilikua ni ku pewa aelekezo tuuHata kipindi nyerere yupo madarakani alikuwa mama Maria hakuwa na say yoyote.
Mama Salma, naweza kusema alikua anasaidia watu au alikua na sauti sana. Ilikua rahisi kupitia kwake kufanikisha jambo unalotaka, kwa watu wa clearing nadhani watakua wanaelewa.
Pia hakuwatupa swahiba zake wa zamani, akiwemo mwantumu mahiza hadi akawa waziri.
Vitu kama hivyo juu havikuwepo kwa mama maria
Mkuu unaelewa maana ya kula kulala?. Makongoro alikuwa pilot wa ndege za kijeshi, kuna kula kulala anayeweza kuendesha ndege ya jeshi?.Mkoa wa Mara kijana wa kiume awe kula kulala kwa mama yake ? Hakuna hata mama yake awe Bilionea. Ni familia ya Nyerere tu ndio iko hivyo mkoa wa mara vitoto vidogo vya kiume vinaanza kujitegemea vikiwa vidogo mno
Familia ya Nyerere ni exceptional!! Kuwa na mitoto mijitu mizima ina wajukuu kula kulala kwa mama !!
Uhuru wengi walipigania sio Nyerere tu
Yuko Kawawa wanae hawadeki kama wa Nyerere kuwa watoto wa mama!!
Zanzibar wako watoto wa wa Waleta uhuru Zanzibar wa mzee Karume na mzee Mwinyi sio mitoto ya mama kula kulala kwa mama zao
Familia ya Nyerere mitoto yake ina shida haiko vizuri loo .Sio kuwa hao wengine walioshirikiana na Nyerere kudai uhuru walikuwa wezi au mafisadi hakuna lakini watoto wao wanajielewa
Kafundishwa na mumeweHuyo mama ni mroho na tena hatosheki [emoji2]
Uliona wapi Mmatumbi asiyeongea utumbo ?Salma kikwete alizingua kusema vile, thamani ya mke wa Rais inakuja kwa yeye kuwa na mume Rais. Hiyo haitaishia hapo hadi watoto wa viongozi wakuu watataka haki zao siku moja.
Alichotakiwa Salma ni kuridhika na kumshukuru Mungu kumjalia mumewe kuwa Rais , kauli yake inawadhalilisha sana wake za wengine waume wao wasio viongozi wakuu
Na hawataki deal za kifisadi kwa jina la mshuaKila mmoja ana Maisha yake wewe kibugusa.
Madaraka ana mishe zake superb huko Canada, hata wajukuu wengi sana wa Nyerere wako huko na wengine hawajui hata Kiswahili.
Makongoro hajawahi kuhama Arusha tangu Nyerere akiwepo. Na hajawahi kukaa Jobless, Mara nyingi Amelia Mbunge ( NCCR MAGEUZI), Mbunge ( EALA) na Mjumbe NEC.
Kwanza mke wa Makongoro Ni Jaji Mstaafu wa mahakama ya kazi, yaani. Aache mke wake na nyumba yake Arusha akakae Msasani au Butiama kwa Mama yake?;
Huo uRC ndio kapewa sasa hivi. Hajawahi kuwa hata DC.
Watoto wa Nyerere wengi wanajipambania Maisha yao wenyewe tu.
Najua wabongo tunaishi kwa CHUKI, basi Chuki ziendane na ukweli.
Alimponza hadi Babu Seya na wanae.Good kuacha yule malaya hatosheki
Kila nyumba ina siri zake, kila ndoa ina siri zake, kila anaye oneana tajiri ana siri zake, na vyote unavyo viona kwa nje , vinaweza kuwa sio vyenye uhalisia, mnaweza sema JK ni fisadi basi mkewe atakua njema, kumbe sivyo navyo dhani , unaweza kuta JK ana pesa ya kawaida tuu ila lifestyle ikakudanganya wewe kuamini ni a billionare kumbe labda wtu walio mzunguka ndio wametajririka kutumia jina lake tena labda hata bila kujua na wengi mkadhani ni yeye tajiri. kitendo cha Mama kuzungumzia stahiki , kina weza ashiria sio kwamba ni wana pesa kiasi mnacho dhania .Kafundishwa na mumewe
Kwani hapewi chochote?Watanzania acheni nongwa. Ni kweli Msoga Gang wana mambo yenye kero kwa wananchi.
Lakini tusimhukumu Mama Salma kwa sisi kushindwa kumuelewa au kuelewa hoja yake. Mh. Salma anadai haki yake, yeye alikuwa mwalimu na akaachishwa kazi ili awe karibu na Rais. Je, asidai haki yake?
Yeye huyo kataka uwepo utaratibu wa kuheshimu fani au kazi ya mwenzi wa Rais...yaani wasiachwe tu bila kazi ya kufanya bali wapewe nafasi. Ikiwa wataachwa serikali iweke utaratibu nao kupewa chochote.
Huu utaratibu upo nchi zingine
Sio Makongoro unechanganya mtoto wa Nyerere aliyekuwa Rubani hedge za vita sio makongoro .Re check your records!!Mkuu unaelewa maana ya kula kulala?. Makongoro alikuwa pilot wa ndege za kijeshi, kuna kula kulala anayeweza kuendesha ndege ya jeshi?.
Point yangu hawa sio watu lelemama kwa namna yoyote ile.Sio Makongoro unechanganya mtoto wa Nyerere aliyekuwa Rubani hedge za vita sio makongoro .Re check your records!!
Rubani wa JWTZ alikuwa John Nyerere sio Makongoro
John alifariki 2015
Ok John pia mwisho wa siku aliishia kula kulala msasaniPoint yangu hawa sio watu lelemama kwa namna yoyote ile.