Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Huyo jamaa inaelekea mama yake bado kijana ana nguvu, mzazi mara nyingi akizeeka kama ana watoto hata kama wakubwa kiasi gani, mara nyingi huja nyumbani mara kwa mara kucmcheck kisha wanaondoka. Yule mama ni maisha bora na ana makazi mazuri hivyo watoto wake wana pakufikia tofauti na wengine unakuta mtu kaondoka home alafu room aliyokuwa analala imefanywa stoo wanaweka mahindi hivyo anarudi nyumbani kwa kidigitali (kwa kupiga simu) na hata akirudi home anakaa siku 2 anateleza na ataonekana baada ya miaka 2 tenaEbu tusikariri maisha kila familia inautaratibu wake banaaaa we kama kwenu ulifukuzwaaabsio wote, uo ndo utaratibu wa familia kama wanaishi kwao haimaaanishi awana uwezo wa kuishiii kwenye nyumba zao pengine wameamua kuishiii kama extended famili, unauhakika gan wanaishi kwa ela ya maria nyererrr au ndo storiii za vijiweniiii