Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

Naunga mkono hoja mama Maria hana makuu hebu fikiria mitoto yote mikubwa akiwemo Makongoro inaishi kwa mama yao

Watoto wa kike na waume zao kula kulala kwa Maria Nyerere likiwemo li zungu la Ulaya lililio oa mtoto wa Nyerere linaishi kwa pesa ya mama Maria Nyerere

Yaani ana familia ya mijitu mizima na wake zao na watoto zao wote bill kwa Maria Nyerere na ka Pension kake ka pesa ya mumewe

Mama Samia Walau aliona ampunguzie mzigo kwa kumpa ukuu wa mkoa Makongoro baada ya kuona mijitu mizima inaishi kwa mama haiwezi kujitegemea!! Na umri wao mkubwa!!

Kweli maria hana makuu aisee ukifika Butiama ni aibu kwa hiyo mitoto ya Nyerere si kuwa haikuwa na kazi huyo.Makongoro alishakuwa hadi mbunge lakini alikuwa kula kulala kwa mama yake!!
Lazima wale maana Baba Yao kafanya mambo makubwa Africa ndiyo maana Mwl akapewa mpaka mitaa kwenye baadhi ya nchi za Africa kwaiyo watoto na wajuu wake Kula kulala kwa Kodi zetu ni sahiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Rushwa ni laana na adui mkubwa wa maendeleo:-JK Nyerere

Anataka kuongezewa zaidi!

Heri yako Mama Nyerere !
 
Kikwete aongezewe ulinzi au akae mbali na Salma nyimba anazo kibao amwache akae ingine wasikutane

Na yote aliyomfanyia ikiwemo kusaidia NGO yake ya WAMA leo anamkana bungeni kuwa unaanzisha NGO na hupati msaada wowote unahangaika mwenyewe

Hivi Ridhiwani Kiwete yuko bungeni matamshi kama hayo ya mama yake mdogo si yanamuumiza sana?

Ndio maana sio vizuri familia kurundikana eneo moja ona sasa maugomvi ya nyumbani yanaletwa bungeni kuwa mzee Kikwete alikuwa kidume kisichowajibika NGO ya mkewe !!
Bulembo wa CCM mfano alioza mwanawe mbunge kwa mbunge Zitto Kabwe

Siku hiyo akalipuka bungeni kuwa Zitto kabwe mkemwewe anastahili kuuawa !! Wote wakiwa bungeni!! Baba mkwe anamtangazia mkwewe Zitto kabwe kifo!!!

Hiyo inaonyesha kwamba Kikwete kashindwa kum control mkewe ndio maana anapayuka tu kama hivyo,ajabu analazimisha ku control hii nchi !!
 
Kabisa mkuu, mtu tangu usichana wake analishwa na serikali, kafika mpaka utu uzima na wajukuu juu bado anataka kuongezewa stahiki zake.

Kwa jicho la tatu ukitafakari hii kauli yake ina maana kubwa, hatoishia maisha marefu kama mama mwinyi na mama nyerere.
 
Hiyo inaonyesha kwamba Kikwete kashindwa kum control mkewe ndio maana anapayuka tu kama hivyo,ajabu analazimisha ku control hii nchi !!
Na mimi niliwaza hivyo kwanza kamuaibisha ni kama vile mmewe hamtimizii mahitaji, najua kwenye hii issue kama angemshirikisha mmewe asingekubali kulisema bungeni.
 
Hiyo inaonyesha kwamba Kikwete kashindwa kum control mkewe ndio maana anapayuka tu kama hivyo,ajabu analazimisha ku control hii nchi !!
Mpeni heshima mzee Kikwete. Anaingiaje hapa sasa kwa maoni yaliyotolewa na Mbunge? Hata mnavyo mkosoa Mama Salma iwe kwa maneno ya heshima. Nimesoma comments nyingi humu lugha kali ya matusi imetumika. Si sahihi kabisa. Watanzania tuna ustaarabu wetu wa kujadili mambo.🙏🙏🙏
 
Salma kikwete alizingua kusema vile, thamani ya mke wa Rais inakuja kwa yeye kuwa na mume Rais. Hiyo haitaishia hapo hadi watoto wa viongozi wakuu watataka haki zao siku moja.

Alichotakiwa Salma ni kuridhika na kumshukuru Mungu kumjalia mumewe kuwa Rais , kauli yake inawadhalilisha sana wake za wengine waume wao wasio viongozi wakuu
Kama nimeilewa hoja. Anasema wao wanaachishwa kazi ili ufanye kazi ya kuwa mwenza. Na hawapati mafao yao baada ya urais kuisha. Au nimeelewa vibaya?
 
Ulishawahi kufika kwa Mama Maria?

Makongoro anaishi ARUSHA na ndio makazi yake ya kudumu tangu enzi za Mwalimu, unasemaje Makongoro anaishi kwa Mama yake?

Una matatizo ya AKILI siyo bure.

Kwanza Butiama, Hakuna familia ya Nyerere.

Madaraka anaishi Canada na ana Mambo yake.

Mama Maria anaishi Msasani.

Makongoro anaishi ARUSHA na amewahi kuwa Mbunge wa Arusha miaka ya 1995 ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi.
Jamaa hana akili huyo wala usipoteze muda kulumbana naye. Watoto wa mwalim wako karibu sana na mama yao na wanamdhamini na siyo kama wanamtegemea.
 
Mpeni heshima mzee Kikwete. Anaingiaje hapa sasa kwa maoni yaliyotolewa na Mbunge? Hata mnavyo mkosoa Mama Salma iwe kwa maneno ya heshima. Nimesoma comments nyingi humu lugha kali ya matusi imetumika. Si sahihi kabisa. Watanzania tuna ustaarabu wetu wa kujadili mambo.🙏🙏🙏
Kikwete anaingia kwa vile ni mme wake hata mafao anayoyaomba ni kwa mgongo wa mme wake ambaye alikuwa rais.
 
Kikwete anaingia kwa vile ni mme wake hata mafao anayoyaomba ni kwa mgongo wa mme wake ambaye alikuwa rais.
Sawa ni mumewe. The issue is; Mama Salma kazungumza bungeni tena live siyo recorded, je, Mzee Kikwete angewezaje kumcontrol? Angewezaje kuota kama ataongea hivyo? Ifike hatua huyu Mzee tumlindie heshima yake. Alikuwa Mkuu wa nchi, Rais na Amiri Jeshi Mkuu. 🙏🙏🙏
 
Kwenye familia kuna masuala makubwa kama haya yanahitaji kujadiliana pamoja ndio yaende public hata kama kutatokea madhara muwe tayari kuyakabili kwa pamoja.
 
Familia na ukoo wa fisi wakikuta mzoga badala ya kula kistaarabu huanza kupigania mzoga na wakati mwingine kuumizana wao kwa wao....Tatizo ni nini hasa? Ulafi? Kudhurumiana? Kuonyeshana umwamba au njaa kali sana?
 
Sawa, yawezekana kaachana na mke wake KAKUOA wewe maana inaonekana unayajua ya ndani sana kuhusu Makongoro.
Nilikuwa naunga mkono tu hoja ikiyoletwa kuwa mama Maria nyerere hana makuu na kuthibitisha kuwa kweli hana mkauu

Vipi mbona unehamaki wewe ndie Makongoro kula kulala kwa mama yako au?
 
Naunga mkono hoja mama Maria hana makuu hebu fikiria mitoto yote mikubwa akiwemo Makongoro inaishi kwa mama yao

Watoto wa kike na waume zao kula kulala kwa Maria Nyerere likiwemo li zungu la Ulaya lililio oa mtoto wa Nyerere linaishi kwa pesa ya mama Maria Nyerere

Yaani ana familia ya mijitu mizima na wake zao na watoto zao wote bill kwa Maria Nyerere na ka Pension kake ka pesa ya mumewe

Mama Samia Walau aliona ampunguzie mzigo kwa kumpa ukuu wa mkoa Makongoro baada ya kuona mijitu mizima inaishi kwa mama haiwezi kujitegemea!! Na umri wao mkubwa!!

Kweli maria hana makuu aisee ukifika Butiama ni aibu kwa hiyo mitoto ya Nyerere si kuwa haikuwa na kazi huyo.Makongoro alishakuwa hadi mbunge lakini alikuwa kula kulala kwa mama yake!!
Una chuki binafsi na familia ya Mama Maria! Bila shaka yo yote wewe ni changudoa!
 
Una chuki binafsi na familia ya Mama Maria! Bila shaka yo yote wewe ni changudoa!
Changudo la kujiuza kwa watoto wa Nyerere wana nini cha maana? Hawana pesa wala maisha kula kulala kwa mama yao najiuza kwa ajili ya jina au ?

Makongoro mwenyewe alimwambia mama Samia kuwa uteuzi kapewa ukiuliza kufanya nini kikubwa unaambiwa mtoto wa Nyerere!!
Kwa hiyo nijiuze kwa jina tu kuwa huyu familia ya Nyerere!!!??

Mkewe Makongoro alimkimbia baada ya kuona kuolewa na jina la mtoto wa Nyerere kumbe hamna kitu!! Utakula Jina? Wakati wao wenyewe kula kulala kwa bili mama yao Maria Nyerere watampa nini changudoa wakati hata pa kulala pa kwao hawana wanalala kwa mama yao
 
Back
Top Bottom