Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

Kwa umri huo utakuaje na makuu wakati kila kitu una letewa na watoto wako privelleged?
 
Salma angekuwa Mke wa Hayati Julius Nyerere labda angetaka atokee kwny note ya elf 5 ili kuenzi kazi yake nzito ya u first lady ya miaka 23
Acha kumbagaza, hana hiyo roho ya tamaa.
 
Kwa umri huo utakuaje na makuu wakati kila kitu una letewa na watoto wako privelleged?
Hata kipindi nyerere yupo madarakani alikuwa mama Maria hakuwa na say yoyote.
Mama Salma, naweza kusema alikua anasaidia watu au alikua na sauti sana. Ilikua rahisi kupitia kwake kufanikisha jambo unalotaka, kwa watu wa clearing nadhani watakua wanaelewa.
Pia hakuwatupa swahiba zake wa zamani, akiwemo mwantumu mahiza hadi akawa waziri.
Vitu kama hivyo juu havikuwepo kwa mama maria
 
Bulembo wa CCM mfano alioza mwanawe mbunge kwa mbunge Zitto Kabwe

Siku hiyo akalipuka bungeni kuwa Zitto kabwe mkwewe anastahili kuuawa !! Wote wakiwa bungeni!! Baba mkwe anamtangazia mkwewe Zitto kabwe kifo!!!
Bulembo alijitoa ufahamu makusudi ili kumfurahisha yule 'jamaa'.
 
Tulipopata Uhuru walikua bado wadogo, kwa miaka 23 ya utawala wa baba yao maisha yao yalikua ni kuchagua menu, kuchagua gari, na kuchagua dereva. Usiwalaumu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa wewe unajijua kabisa ume toka kijijini , umekulia kijijini, hauwezi fiti maisha ya mjini kwanini una hangaika na wasichana wa mjini ambao hamuwezi afford them?
Si ungetafuta wa Kijijini mwenzako uliye kulia naye mazingira hayo ,ambaye ana jua kusonga liugali likubwa ushibe , anaye jua kujanja kuni ili awe na tabia zile ulizo kulia huko vijijini , aku amkie, aku fulie ,akuoshee vyombo , akulele watoto na asafishe nyumba ?, kuliko kujilazimisha tafuta mwaname wa Mjini asiye jua shuruba za kama ulipo kulia masiha yako ili uondoe tatzo hilo , usiwe unapenda vitu usivyo na uwezo navyo , mwaname huyo asiye jua kupika ni wa wenye pesa tuu na walio kulia mijini, sio kama wewe mwanaume wa kimila , unaye taka haribu mrembo aanze komaza mikono kwa kusonga ugali sababu hata pea ya msichana wa kazi hauna . Muwe mna dili na level zenu kwa kisshwahili tuna sema Pambana na hali yako , usikurupukie mali usio iweza itunza , hao uwaone mitaani tuu wa kwako ni yule aliye lelewa kijijini mwenye heshima anaye kupigia magoti unapo taka maji ya kunywa . usilazimishe mambo .utaishi kwa furaha zaidi .
 
Inaonekana likua ni wale Wamama wa nyumbani wasio na sauti , kazi ilikua ni ku pewa aelekezo tuu
 
Mkuu unaelewa maana ya kula kulala?. Makongoro alikuwa pilot wa ndege za kijeshi, kuna kula kulala anayeweza kuendesha ndege ya jeshi?.

Huyo Madaraka alirudi Butiama baada ya Mzee wao kufariki dunia, miaka yote alikuwa na mishe zake katikati ya jiji la Dar akiendesha gari fulani ndogo nyekundu miaka ile ya 1990.
 
Uliona wapi Mmatumbi asiyeongea utumbo ?
 
Na hawataki deal za kifisadi kwa jina la mshua
 
Kafundishwa na mumewe
Kila nyumba ina siri zake, kila ndoa ina siri zake, kila anaye oneana tajiri ana siri zake, na vyote unavyo viona kwa nje , vinaweza kuwa sio vyenye uhalisia, mnaweza sema JK ni fisadi basi mkewe atakua njema, kumbe sivyo navyo dhani , unaweza kuta JK ana pesa ya kawaida tuu ila lifestyle ikakudanganya wewe kuamini ni a billionare kumbe labda wtu walio mzunguka ndio wametajririka kutumia jina lake tena labda hata bila kujua na wengi mkadhani ni yeye tajiri. kitendo cha Mama kuzungumzia stahiki , kina weza ashiria sio kwamba ni wana pesa kiasi mnacho dhania .
 
Kwani hapewi chochote?
Anachopata saa hizi ni sawa na angekua mwalimu?
 
Mkuu unaelewa maana ya kula kulala?. Makongoro alikuwa pilot wa ndege za kijeshi, kuna kula kulala anayeweza kuendesha ndege ya jeshi?.
Sio Makongoro unechanganya mtoto wa Nyerere aliyekuwa Rubani hedge za vita sio makongoro .Re check your records!!

Rubani wa JWTZ alikuwa John Nyerere sio Makongoro

John alifariki 2015
 
Sio Makongoro unechanganya mtoto wa Nyerere aliyekuwa Rubani hedge za vita sio makongoro .Re check your records!!

Rubani wa JWTZ alikuwa John Nyerere sio Makongoro

John alifariki 2015
Point yangu hawa sio watu lelemama kwa namna yoyote ile.
 
Point yangu hawa sio watu lelemama kwa namna yoyote ile.
Ok John pia mwisho wa siku aliishia kula kulala msasani

Ninachoongelea tofauti na watoto wa viongozi wengine kama wa Raisi Mwinyi wa Mkapa wa Kikwete na wa Karume hao wao watoto wao sio kila kulala kwa wazazi wao

Wana maisha yao mbali kabisa na wazazi wao

Hawaishi nyumbani kwa wazazi wao japo wazazi wao wamejengewa mahekalu na Serikali

Tofauti na wa Nyerere.Kwa watoto wa Nyerere tukubali kuna shida .Watoto wameshindwa kusimama wenyewe kimaisha tofauti na wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…