rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Mbona hawauzi sasa?Kama yapo ICD ina maana yamehifadhiwa hayajafichwa!! Waache siasa! Hayo mengine yanaenda nje nchi na hata Ushuru hayajalipiwa! Utasemaje yamefichwa?? Unawezaje kufich kontena kwenye Bandari kavu??
Lumumba a.k..a buku 7, hebu acheni miemko ya UVCCM, huwezi kununua bidhaa yako ya biashara usiwe na mahala pa kuiweka ambayo ni salama.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amebaini sukari zaidi ya makontena 115 iliyofichwa kwenye bandari kavu ya PMP, Mkuu wa Mkoa ametoa taarifa kuwa kuna zaidi ya Makontena 162 na sio 115 kama ilivyoripotiwa hivyo ameagiza zoezi la ukaguzi wa sukari liendelee kwenye Bandari kavu hiyo.
mkuu,samahani!unaweza kuki upload kipisi cha gazeti chenye habari hio...?U
silolijua sawa na usiku wa giza.
majibu ya Sukari hiyo yanapatikana katika gazeti la mwanachi la tarehe 11/05/2016 pg 9 penye kichwa cha habari ''SAKATA LA SUKARI LACHUKUA SURA MPYA'' . Wanasema kuwa sukari hiyo iliuwa huko ili kumaliziwa kwa taratibu za ulipaji kodi za TRA. ''.....ilikuwa inasafirishwa kwenda Burundi, lakini tukaomba tuinunue na itumike hapa Nchini kutokana na sababu ya upungufu wa Sukari hapa kwetu...''
MkuuMKUU kwañi ukiona kontena unawezaje kujua imesheheni kitu gani bilà ya kupewa tip off, walio toa taarifa wanajua kinacho endelea - Bandari kavu zunatumika kuficha vitu Vingi tu, hatutaki kuambiwa eti Sukari ilikuwa imehifadhiwa hapo jwa muda ikiwa kwenye transit kwenda nchi jirani. Usanii huu ni mbaya sana.
he kama inasubiri clearance? Bado kidogo meli yenye sukari ikitia nanga bandarini tutaambiwa ' sukari imegundulika imefichwa kwenye meli'!
Simu ya tochi mkuu, haiwezi ku-uploadmkuu,samahani!unaweza kuki upload kipisi cha gazeti chenye habari hio...?
Wauze wakti inapita kwenda Nchi zingine. Ni transit Good hiyo. Kama hujui maana yake GOOGLEMbona hawauzi sasa?
Ile ishu Paul Makonda aliumbuka pale yule mzee wa ki Islam alipomjibu kuwa, "nimenunua hii sukari kwa ajili ya kwenda kutoa sadaka"Ile movie ya tani 4 imeishaje?
Maana naona anazindua nyingine