kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ila ninabuni tu, sio Kagera kweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna wengine wanakunywa hizo dawa waziwazi bila kificho kama zamani. Wapo pia wanaowapelekea moto waathirika bila hofu ya kuambukizwaNaona ugonjwa umeshazoeleka kiasi kwamba waathirika hawajali kujulikana, wanatupa kopo tu. Mwanzoni ilikuwa siri, aibu na fedheha!
mechi mbona zinauzwa sana tu? Sasa kama unakutana na mrembo mzuri kakamilika kila idara unapata hofu gani kumpelekea moto, tena bila kinga?Kupitia ule thread watu wengi wameathirika sana
Kijana uwe unasoma na kuelewa kilichoandikwa Kabla ya kujibuIli muanze kuwatenga, kuna JAMII nyingine wakisikia hivyo wataanza kunyoosheana vidole. Hata ww usingependa kuanza kujulikana iwapo ungepata ugonjwa kama huo
Achana na huyo mtoa mada kuna mtu alireply ndo nkamjibu hivyo. Huyu chiniKijana uwe unasoma na kuelewa kilichoandikwa Kabla ya kujibu
waacheni watu wajitokeze wawe huru ili tuweze kuwafahamu kwenye jamii zetu
Hakuna, shida ni ishara njema watu wanatumia dawa. Mbaya yasingeeonekana, Mgeendelea kulowekeana mpaka basi.Hii ni ishara mbaya sana.
siku ya tano leo nakutana na makopo ya kubebea ARV kwenye haka kamtaa ninakoishi.
Yanatupwa tu yani hadi watoto wanayachezea kabisa.
leo ndio nimejua kuna kopo za vidonge 30, 90 hadi 100
Hii nchi kwa maeneo ya mjini kuna rate kubwa ya mambukizi ya UKIMWI.
View attachment 2636390
Unanivuruga ubongo,huyo uliyemquote ni nani?Achana na huyo mtoa mada kuna mtu alireply ndo nkamjibu hivyo. Huyu chini
Safi sana acha tupungue ugali utosheHii ni ishara mbaya sana.
siku ya tano leo nakutana na makopo ya kubebea ARV kwenye haka kamtaa ninakoishi.
Yanatupwa tu yani hadi watoto wanayachezea kabisa.
leo ndio nimejua kuna kopo za vidonge 30, 90 hadi 100
Hii nchi kwa maeneo ya mjini kuna rate kubwa ya mambukizi ya UKIMWI.
View attachment 2636390
Hakuna, shida ni ishara njema watu wanatumia dawa. Mbaya yasingeeonekana, Mgeendelea kulowekeana mpaka basi.
Imeandikwa kitaalamu ili sio kila mtu ajueUnajuaje ni ARV? Mbona haijaandikwa hivyo?
Kweli dunia ina siri, na utu uzima wangu sikuwahi kuona kopo wala chochote kinachohusu ARVHii ni ishara mbaya sana.