Makopo ya ARV yamezagaa mtaani kwangu

Makopo ya ARV yamezagaa mtaani kwangu

siku hizi vidonge hivyo vinatumika sana na wafugaji wa nguruwe kuwanenepesha, kama ni eneo lenye mabanda ya nguruwe ondoa shaka ni mambo ya wafugaji tuh
 
Pedi zilizotumika, pampasi, condom zilizotumika zimechukua nafasi ya mifuko ya plastiki.. Kila mtaa zimetapakaa
hii kitu huwa inanikasirisha sana yani mitaa imezagaa pedi ,nafikiri makampuni yanayotengeneza haya mapedi yalazimishwe kutengeneza vimitambo vidogo vya incinerator mitaani pia
 
Shukuru Mungu na ufurahi kua watu wanatumia Dawa ,hiyo ni hatua nzuri na juhudi za wataalamu wetu,nakuhakikishia kua hao wasingetumia hayo makopo hali ingekua mbaya mbaya zaid ungekua unapishana na vifo kila nyumba unayopita na wengi wasingejiepusha ,ni wengi sana sasa Hv hawajaugua kwa sababu ya huyo anayetumia Dawa weka hilo akilini ,matumiz ya Dawa yamepunguza ueneaji wa maambukizi ya ukimwi.ndio maana sasa hv ukikutwa tu na maambuzi unaanzishiwa Dawa apo apo .
 
Sio kiboboru ni kibobori, jina la kilugha ila ni kamnyama kadogo kanakosimama kwa kutumia miguu ya nyuma. Kana tabia ya kufukua mbegu za mahindi uliyopanda ili apate chakula. Nitatafuta jina kwa kiswahili.
 
Niliwahi kutembelea malangali mufindi.... Wastani kila baada ya hatua 20 nilikuwa naona kopo Moja kama Hilo! Sijui hali ikoje kwa sasa
 
Sio kiboboru ni kibobori, jina la kilugha ila ni kamnyama kadogo kanakosimama kwa kutumia miguu ya nyuma. Kana tabia ya kufukua mbegu za mahindi uliyopanda ili apate chakula. Nitatafuta jina kwa kiswahili.
Nguchiro?

Yupo mwingine mkubwa mkubwa tunamwita kiboboru, kwa kiswahili jina lake silijui
 
Back
Top Bottom