Makopo ya ARV yamezagaa mtaani kwangu

Makopo ya ARV yamezagaa mtaani kwangu

Watanzania bwana,sijui mtaacha lini Stigmatization,no wonder tutaendelea kuuana kwa hayo mambo ya sirisiri....waacheni watu wajitokeze wawe huru ili tuweze kuwafahamu kwenye jamii zetu
Tatizo ni kampeni za miaka ya 90 za kuzuia ukimwi zilisisitiza watu kuuogopa ugonjwa na ilitengeneza mass hysteria....

Hii hali tumebaki nayo mpaka sasa japokuwa zimeshapatikana njia za ku-co exist na wenye maambukizi.....
The fear is too great.
 
Watanzania bwana,sijui mtaacha lini Stigmatization,no wonder tutaendelea kuuana kwa hayo mambo ya sirisiri....waacheni watu wajitokeze wawe huru ili tuweze kuwafahamu kwenye jamii zetu
Mweee kuongea rahisi mzabzab hapa nimejitokeza nikiwaomb mbususu mnanikwepa kama ukoma. Wacha twende kisirisiri tuendelea kuuana tuu ndio inapendeza
 
Back
Top Bottom