Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hii kitu huwa inanikasirisha sana yani mitaa imezagaa pedi ,nafikiri makampuni yanayotengeneza haya mapedi yalazimishwe kutengeneza vimitambo vidogo vya incinerator mitaani piaPedi zilizotumika, pampasi, condom zilizotumika zimechukua nafasi ya mifuko ya plastiki.. Kila mtaa zimetapakaa
hivi kiboboru kwa kiswahili kinaitwaje.Ila ninabuni tu, sio Kagera kweli!!
Nguchiro?Sio kiboboru ni kibobori, jina la kilugha ila ni kamnyama kadogo kanakosimama kwa kutumia miguu ya nyuma. Kana tabia ya kufukua mbegu za mahindi uliyopanda ili apate chakula. Nitatafuta jina kwa kiswahili.