DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
1. Mkuu pitia maelezo yangu vizuri kabisa nimeeleza vizuri kabisa na nimesema chote...kuhusu siku moja sawa na miaka 1000 nafikri unatakiwa kujua ni miaka gani inazungumziwaZaburi 90:4 na 2Petr 3:8 Adamu alikufa ndani ya siku moja machoni pa Mungu. wapo aliofikisha miaka 1000 lakini Si Adam wala mkewe waliofikisha hio miaka.
1)kuhusu mwanzo 2:16,17 shetani alikua sahh kusema akila tunda atajua mema na mabaya ila hakua sahh kusema "Hakika hamtakufa" "Ye shall not surely Die". So kitendo cha shetani kukanusha kwamba hawatakufa tayari ni uwongo huo.
2)Kumbuka kwamba Mungu kama baba mwenye nyumba ana haki ya kuweka mipaka ndani ya nyumba yake. Mungu alipowaumba adam na hawa aliwaonyesha mpaka wake kwa kutowaruhusu kula yale matunda just to show loyalty to him lakini aliwapa kila kitu na uhuru wa kutosha. kitendo cha shetani kwenda kumshawishi Hawa then Adam ni kama alisema Mungu ni mbinafsi. lakini matokeo ya dhambi yao mpk leo wazao wake tunapambana nayo. what if wasingemsikiliza shetan? hapo ndipo tunasema shetani ni mwongo
3) Kuhusu kisa cha Ayubu kwenye masimulizi ya ayubu 1,2 lina uhusiano wa moja kwa moja na 1petr 5:8 na Ufunuo 12:10. katika hvyo visa chunguza vzuri ni kama shetani anamshtaki Ayubu kwa Mungu like Mungu anamlinda Ayubu na kumbariki bure tu ila akiruhusu ajaribiwe atamwacha Mungu. na wengi hapa hua wanachanganya mana katika kisa hicho aliyekua akijaribu utii wa Ayubu kwa Mungu ni shetani sio Mungu. hata aliposema bwana ametoa bwana ametwaa yeye pia hakujua kwamba ni shetani aliyekua akimjaribu na baadae alikuja kutubu dhambi yake soma Ayubu 42:3-6. ni kisa kizito na kirefu sana na kina mada nyingi mno nitachoka kuandika.. karibu
2.Mkuu bado hukujibu swali na kuhusu Baba mwenye nyumba....Hivi unaweza kuruhusu baba yako akuambia maharage zamani yalikuwa Ni magorofa ila yakapunguzwa yakawa madogo,akudanganye kwa sababu yeye ni mkubwa??
#Facts check
Shetani
Mwanzo 3:4-5
"Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,
kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya."
Mungu
Mwanzo 3:22
"Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;"
3.KUHUSU KISA CHA AYUBU
kama utakuwa umesoma kisa cha ayoub vizur bila kusimuliwa utagundua vifuatavyo
- Sehemu zote alizoongea ayoub zilikuwa ni sehemu zenye Hasira sana na Mungu na makufuru Mengi..
- Sehemu zenye kheri ni sehemu walizoomgea Rafiki zake watatu matabibu waliokuwa wakimtia moyo..
- Ayoub yuko Overrated sana na Dini ya Kiislamu na kikristo kuliko Maandishi yake yenyewe yanavyoswma
NAKURUDIA TENA SOMA VIZURI NILICHOULIZA KSE YE HIYO POST YA NYUMA KWANI HUJAJIBU MPKA SASA ILA UMEJITAHIDI ANGALAU KUANDIKA