Makosa kadhaa katika kutoa Pepo (Exorcism). Mapepo/Majini hayaombewi yanafukuzwa

1. Mkuu pitia maelezo yangu vizuri kabisa nimeeleza vizuri kabisa na nimesema chote...kuhusu siku moja sawa na miaka 1000 nafikri unatakiwa kujua ni miaka gani inazungumziwa

2.Mkuu bado hukujibu swali na kuhusu Baba mwenye nyumba....Hivi unaweza kuruhusu baba yako akuambia maharage zamani yalikuwa Ni magorofa ila yakapunguzwa yakawa madogo,akudanganye kwa sababu yeye ni mkubwa??

#Facts check

Shetani
Mwanzo 3:4-5

"Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,
kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya."

Mungu
Mwanzo 3:22

"Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;"

3.KUHUSU KISA CHA AYUBU

kama utakuwa umesoma kisa cha ayoub vizur bila kusimuliwa utagundua vifuatavyo
  • Sehemu zote alizoongea ayoub zilikuwa ni sehemu zenye Hasira sana na Mungu na makufuru Mengi..
  • Sehemu zenye kheri ni sehemu walizoomgea Rafiki zake watatu matabibu waliokuwa wakimtia moyo..
  • Ayoub yuko Overrated sana na Dini ya Kiislamu na kikristo kuliko Maandishi yake yenyewe yanavyoswma


NAKURUDIA TENA SOMA VIZURI NILICHOULIZA KSE YE HIYO POST YA NYUMA KWANI HUJAJIBU MPKA SASA ILA UMEJITAHIDI ANGALAU KUANDIKA
 
Wengi wanadhani Shetani alianza ubaya wake alipokuja kuwajaribu Adam na mkewe pale bustanini...lakini uasi wa huyo malaika ulitokea mbinguni..

Biblia inatupa hints kidogo japo kwa uchache kwa nini huyo kiumbe aligeuka toka kuwa malaika mtiifu hadi kuwa muasi. Ezekiel 28 inatueleza kuwa jamaa aliumbwa akiwa perfect kama Kerubi afunikaye ila akatamani nafasi ya Mungu. Ndipo uasi ukaibuka huko huko mbinguni. Maana jamaa alisema moyoni mwake atainua kiti chake juu kuliko Cha Mungu, atafanana na the most High God.

Ufunuo 12 inaendelea kuelezea juu ya vita hiyo baina ya Mungu na hiyo malaika akiwa na malaika wenzake waliomuunga mkono. Haikuwa vita ya mapanga na silaha za kivita..ila ilikuwa vita ya hoja.

Baada ya kushindwa na kufukuzwa huko headquarters ndipo akahamishia harakati zake kwenye sehemu ambako mwenyezi Mungu aliumba na kuweka viumbe.

Katika sehemu zote alizopita alifanikiwa hapa duniani kuwadanganya Adam na mkewe na kuwaangusha dhambini na akaweka base yake ever since, waging war against God and his creation hapa duniani.

Bwn. Lucifer pale bustanini Eden alifanya mchezo wa ku instill doubts against God's commandments. "Ati hivi ndivyo alivyosema mwenyezi Mungu?"

Alimuuzia hoja Hawa kuwa kuna state of existence Fulani ambayo Mungu amewaficha wasiijue na kwa kula matunda hayo basi watapata kuja hayo mema na mabaya yoote ambayo Mungu aliwaficha.

Kwa namba isiyoweza kuelezeka, Hawa alikubaliana na bwn. Lucifer na kwa kula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya akawa amevunja amri ya Mungu. Akampelekea na mumewe naye akala.

Mti Huo aliweka Mungu kama test ya loyalty na obedience kwa Adam na mkewe. Kwa kukiuka amri ya Mungu wanadamu wakawa waasi na wakaungana na shetani kuwa kinyume na Mungu.

Hali ya uasi dhidi maagizo ya Mungu kwa wanadamu ikaendelea vizazi na vizazi hata Leo. Kama Mungu asingeweka plan ya kututoa kwenye huu mkwamo wa matokeo ya kumuasi...tusingalikuwa na tumaini lolote, life would be meaningless.

Ashukuriwe Mungu kwa kuwa ametutoa kwenye dhambi na matokeo yake.

Reverting to my earlier line argumentation ni kuwa shetani wakati anakuja Eden tayari alishakuwa muovu na hostile against God. So whatever he said pale bustanini alikuwa na lengo moja tu, kuwa badili viumbe wa Mungu dhidi yake...waasi maagizo yake.
 
Nimeeleza short and clear. Unadai why shetani aitwe muongo nikatoa thibitisho ya maandiko kuonyesha kwamba Mungu alikua sahh hakua wrong kusema siku utakapokula... Utakufa. Coz walikufa ilithibitika shetan kua mwongo. Hio miaka 1000 unayozungumzia wew ni tofauti na niliokuandkia. Pili Kuhsu Ayub sijui hujaelewa nn. Nimeeeleza kisa chake kuprove tena kwamba shetani ni mwongo. Nimekuelezea tena kwamba kwa mawazo ya ayubu alijua ni Mungu ndo alikua akimjaribu kumbe ni shetani na mwishowe dai la shetani kwa mungu dhidi ya Ayubu akaumbuka coz ayubu alisimama upande wa Mungu licha ya majaribu. Sijui unataka niongelee nn tena wakat vitu viko wazi
 
Kupanga ni kuchagua
 
Kwani wapi ambapo mapepo yanaombewa?
Au ni lugha tu watu wamezoea kutumia?

Mtu mwenye hizo roho (spirits)ndo anaombewa sio mapepo yanaombewa

Hiyo point no.1.....
 
Huu ni uongo mkubwa, hata we mwenyewe unajua kuwa ni uongo labda uwe mganga jina....

Hakuna kinachoweza kutoa pepo,majini ..(spirit)ila mamlaka ya Mungu tu yaani Yesu pekee yake!

Damu ya Yesu ndo damu pekee inayoweza kuvunja agano lolote la damu na kufuta Chochote kilichofanywa na damu!.

Hizo mnazoita dawa ni uongo ,kinachofanyika waganga Huwa wanaangalia mapepo uliyonayo yana nguvu gani,hivyo wanakuingizia makubwa zaidi Ili kuyatuliza yaliyopo!

Na ndo maana baada ya muda shida Huwa unarudi,Tena mnafanya Kwa kupinga pepo!.
Kwa Yesu hatupungi,tunayafukuza maana "mwili" ni hekalu la Mungu sio mapepo,majini...

Bibi yangu mzaa baba(from ZA)alikuwa mganga full mtu hanidanganyi aiseee!
 
Mapepo ni Myths Tu

Mshana Jr
 
Inamaana Exorcism hufanywa zaidi na waislamu?
Wakatoliki hufanya Exorcism na huwa wanawatumia watu gani? Mf, padre au viongozi gani wa dhehebu lao?
 
Pepo anatolewa kwa dawa maalum za kumfukuza pepo mchafu ukipewa na kuzitumia atatoka pepo mchafu akitaka asitake. Kuna utaalam maalum wakuwezakumtoa pepo ndani ya mwili wamtu au ndani ya nyumba unapoishi
samahani kwa usumbufu Herbalist. dawa maalum za kumtoa pepo zipoje/zinafananaje na huwa zinatumikaje?
Je! huo utaalam maalum wa kutoa pepo huwa unaendana na hizo dawa maalum kabla au baada ya kutumia?
 
Hauna akili
 
Mwache aendelee, bibi'ake angekuwa anafahamu kuingia JF asingenichokoza mimi.

Bibi'ake badala ya kuchokonoa na kubofyabofya keyboard, saa hizi anajichokonoa na kubofyabofya pua yake.
Msamehe 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…