Makosa kadhaa katika kutoa Pepo (Exorcism). Mapepo/Majini hayaombewi yanafukuzwa

C
Common sense inaniambia shetani alipatikana na kosa la kusema uongo maana ukweli aliujua,na alijua kuwa Mungu ni kweli katika kweli. Kwenye kitabu Cha Mwanzo shetani amechorwa kama Nyoka na adhabu yake ni kupondwa kichwa. Pili, unatakiwa ujue kufa ni mchakato,tunakufa kiroho kabla ya kufa kimwili,Mungu akisema utakufa hakika maana yake saa hiyohiyo umeshakufa kiroho na ita-manifest kimwili soon or later na hii inamaana Neno lake haliwezi kumrudia Bure! Yote katika yote,Shetani ni muasi mbele za Mungu na uasi ni kosa.
 
Uongo alisema wapi unaweza kunionyesha
 
Alisema Adamu na Eva hawatakufa lakini walikufa....Soma Uzi wangu vizuri!
Nimesoma vizuri sana lakini umesoma nilichoandika ila ulisoma nilichoandika mimi kabla ya kujibu..?
Unajua maana ya

בְּי֛וֹם ΧΦ²Χ›ΦΈΧœΦ°ΧšΦΈΦ₯ ΧžΦ΄ΧžΦΆΦΌΦ–Χ ΦΌΧ•ΦΌ מΦ₯Χ•ΦΉΧͺ ΧͺΦΈΦΌΧžΦ½Χ•ΦΌΧͺ......

Au inatamkwa ..
....Ba yo wm (Ba yaumi) mim men nu Mawt (mowt) Tamut....
Neno Mim Men nu Linaweka msisitizo wa kwamba Hakuna huruma wala Rehema siku utakayofanya ndo siku hiyo hiyo utakayopata kinachofuata katika sentensi
Na katika sentensi hiyo kinchofuata ni Mawt..
hiyo ni Tafsiri halisi ya lugha ya Kihebrania
kwahyo siku ambayo watadiriki kula ndo aiku watakayokufa...

na ndo maana watafsiri wa biblia wakatumia neno hakika linalimaanisha "verily" maana hakuna uongo siku mtakayokula ndo siku itakayokuwa mwisho wao
na sio watakufa kidogokidgo..

Sasa maneno hayo hyakutokea ila Mungu aliprove kitu alichosema Shetani na kwahyo kama aliprove swali langu linabaki pale pale je shetani ana kosa gani?

aliichosema shetani Mwanzo 3:4-5

Alichosema Mungu Mwanzo 3:22


Hauoni kama Mwanzo 3:22 Ni prove ya kuwa mwanzo 3:4 ilikuwa sawa ...

Kuhusu kufa shetani alitumia na yeye.

La ba yo wm (Ba yaumi) mim men nu Mawt (mowt
au
kwa Kihebrania cha sasa
la mawt tamat ba yamin

kwamba hakika kwa siku hiyo hamtakufa...

narudia tena Kurudisha mpira kwako Kwakuwa Maneno ya Mungu Yameprove maneno ya shetani je shetani ana kosa gani?
 
Hauna akili
wewe unayo akili kweli?lete hoja sio kutukana hapa jamvini nimesha sema Pepo hawezi Kutoka Kwa Damu ya Bwana Yesu Hata wakusanyike Wachungaji wote wa dunia wakitoa Damu ya Yesu pepo mchafu hawezi kutoka ninasema mimi Herbalist Doctor MziziMkavu. Lete wewe hoja yako hapa usilete Maneno yako ya Pumba hapa jamvini.
 
Shindwaaa
 
Wenzetu hayo mapepo na majini wanayapa soda na nyama yanakaa na kutulia
 
samahani kwa usumbufu Herbalist. dawa maalum za kumtoa pepo zipoje/zinafananaje na huwa zinatumikaje?
Je! huo utaalam maalum wa kutoa pepo huwa unaendana na hizo dawa maalum kabla au baada ya kutumia?
Dawa za kumtoa pepo huwa hazifanani kuna aina mbili ya kumtoa Pepo aina ya kwanza ya kumtoa pepo ni yule anaye pandisha katika kichwa cha mgonjwa kuna dawa zake za kuweza kumtoa na kuna dawa ya kumtoa Pepo mahaba aka jini mahaba na huyo pepo wa mahaba ndio pepo mkorofi sana kuliko yule pepo anaye pandisha katika kichwa cha binadamu. Kwani Pepo mahaba aka jini mahaba ndio pepo Mkorofi sana unapotumia dawa yeye hukaa pembeni mpaka dawa zipate kuisha mwilini hurudi tena na kukuletea usumbufu wake. Lakini kuna mbinu zake za kuweza kumtoa asiweze kurudi tena ingawa kumtoa kwake ni gharama kubwa kwani ndio pepo mbaya zaidi kuliko yule pepo anaye panda katika kichwa cha mgonjwa.
 
Kumbe
 
asante kwa maarifa. hizo dawa ni za kunywa au kupaka?
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hujui unachoongea; unless kama humjui Yesu. Unaweza kuongea hivi tu kama humjui Yesu.

Siku wakikurushia pepo, nipigie simu tu, wala sitahitaji kuja mahali ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…