Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani mkuu sijaelewaAsante sana. Unajua sisi wanaume wakati mwingine tuna ubinafsi sana. Hebu ngoja nikupe mfano wa kufikirika. Tu-assume kuwa kuna kulingana na utamaduni wa kitanzania, wanawake ndiyo wangekuwa wanatongoza wanaume na kuposa. Hivi kuna mwanamme ambaye angekataa kwa kutumia vigezo vilivyoorodhwa iwapo madam president angemwendea na kumwambia naomba tuoane? Yaani ukute msela ndiyo amemaliza chuo, anatafuta kazi, halafu apate ujumbe kama huo......
Mantiki yangu ni kuwa: Kama wanawake wangekuwa ndiyo wanatongoza na kuoa wanaume, je wanaume tungezingatia vigezo alivyosema havifai? Yaani aje demu mkali sana na tajiri, atake kuoa kijana fukara, halafu yule kijana akatae na kusema anasubiri demu mcha Mungu?samahani mkuu sijaelewa
kauli mbiu ni 'hayana muongozo'😂Mantiki yangu ni kuwa: Kama wanawake wangekuwa ndiyo wanatongoza na kuoa wanaume, je wanaume tungezingatia vigezo alivyosema havifai? Yaani aje demu mkali sana na tajiri, atake kuoa kijana fukara, halafu yule kijana akatae na kusema anasubiri demu mcha Mungu?
Kumbuka hiyo nadharia yako haina uhalisia au umesahau Wanawake wana ubavu wetu ?Mantiki yangu ni kuwa: Kama wanawake wangekuwa ndiyo wanatongoza na kuoa wanaume, je wanaume tungezingatia vigezo alivyosema havifai? Yaani aje demu mkali sana na tajiri, atake kuoa kijana fukara, halafu yule kijana akatae na kusema anasubiri demu mcha Mungu?
NI kweli, ila just assume...Kumbuka hiyo nadharia yako haina uhalisia au umesahau Wanawake wana ubavu wetu ?
Ungekuwa unaongea na ladies wa miaka ya 1980 au 1990 labda wangekuelewa ila wa sasa hivi hapana, umepoteza muda wako kuandikaAll JF Ladies around 20's + Pitieni na hapa mpate darasa la bure kabisa
1️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu ni mwenzangu wa kabila moja. Ukweli kwamba yeye ni mwenzako wa kabila haumfanyi kuwa mzuri kwako.
2️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu Yeye ni Tajiri. Ukweli kwamba yeye ni tajiri sasa haimaanishi kuwa atakuwa tajiri milele.
3️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu yuko vizuri kitandani. Mwanaume hafai kuwa mzuri kitandani kwa siku moja. Wakati mwingine hii ni dalili kwamba anafanya mazoezi na wengine, na unaweza kuishia kutokuwa kituo chake cha basi. Kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi. Ikiwa hawezi kusubiri, basi aende.
4️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu yeye ndiye aliyechukua ubikira wangu. Ukweli kwamba yeye ndiye aliyechukua ubikira wako haumfanyi kuwa mzuri kwako katika ndoa. Labda alichukua faida ya ujinga wako na udhaifu wako. Usidanganywe.
5️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu ni mzuri. sura sio kipaumbele. Muonekano hubadilika kulingana na umri. Je, ikiwa atapata ajali, na kupoteza baadhi ya viungo vyake vya mwili bado atakuwa bora zaidi kwako?
6️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu ni mrefu. Ukweli kwamba yeye ni mrefu haumfanyi kuwa mzuri na bora kwako. Hizi zote ni sababu mbaya za ndoa.
LAKINI OLEWA NA AINA HII YA MWANAUME..
*Olewa na mwanaume anayeweza kukuongoza.
* Olewa mwanamume anayemcha Mungu na kumwamini.
*Olewa na mwanaume ambaye ana ndoto na kusudi.
*Olewa na mwanaume mwenye tabia na mwenendo mzuri.
* Olewa na mwanaume mwenye ujuzi na uwezo mkubwa.
*Olewa na mwanaume anayeweza kucheza, kufurahi na wewe na kukuombea.
*Olewa na mwanaume ambaye una future naye.
Ni upumbavu kwa wanawake kuchumbiwa na mtu asiyeamini kwa sababu ya pesa. Uwe na Hekima na Uwe na akili. Usipendezwe na pesa, iPhone 15, Maneno malamud. Tumia oblongata yako vizuri 👌👌👌👌👌👌
Jumapili njema all JF Ladles.
Miaka ya 1980 mpaka leo ni miaka 43 huyo taari ni LishangaziUngekuwa unaongea na ladies wa miaka ya 1980 au 1990 labda wangekuelewa ila wa sasa hivi hapana, umepoteza muda wako kuandika
Heri ya Christmas [emoji319] [emoji4]Noted [emoji3578] [emoji3578][emoji3578]
Makoa ndiyo nini we mtutsi, umejaa chuki na binadamu wenzio. Bwege tu wewe.All JF Ladies around 20's + Pitieni na hapa mpate darasa la bure kabisa