Makosa sita lazima wanawake wayaepuke katika uchaguzi wakati wa kuolewa

Kila shetani na mbuyu wake your opinion isn't final that's your own constructed views it's none conclusive at all.
 
samahani mkuu sijaelewa
 
Na katika hizo sababu 7 za msingi, mwanamke akiona hata 4 zinamfiti mwanaume aliyemchumbia asichelewe. Anamfaaa kabisa. Utakuta wanawake wwngine kwa kukosa akili wanataka hizo sifa zote Saba mwanaume awe nazo. Noon hakuna mwanaume malaika. Japo wapo wanaume wanaojitafakari na kujitahdi kusitawisha zifa zote hizo.
 
kauli mbiu ni 'hayana muongozo'😂
 
Kumbuka hiyo nadharia yako haina uhalisia au umesahau Wanawake wana ubavu wetu ?
 
Ungekuwa unaongea na ladies wa miaka ya 1980 au 1990 labda wangekuelewa ila wa sasa hivi hapana, umepoteza muda wako kuandika
 
Ungekuwa unaongea na ladies wa miaka ya 1980 au 1990 labda wangekuelewa ila wa sasa hivi hapana, umepoteza muda wako kuandika
Miaka ya 1980 mpaka leo ni miaka 43 huyo taari ni Lishangazi
1990huyo tayari ana miaka 33 anakuwa tayari ana watoto wawili, nimewaandilia kuanzia mwaka 1998 na kuja mpaka 2003.
 
Makoa ndiyo nini we mtutsi, umejaa chuki na binadamu wenzio. Bwege tu wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…