Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Kwa watu wenye fikra fupi kama mkia wa mbuzi mtaona yote aliyofanya Magufuli ni makosa tu. Ila kwa watu wenye upeo wa hali ya juu wanaelewa how strategic that nigga was.

Jamaa hakupenda siasa za kinafiki na uzanidiki na focus yake ilikuwa ni kuleta maendeleo ya haraka sana hakutaka mambo ya kujivuta na siasa za chokochoko ndio maana aliwafyeka mikia wajinga wajinga wote waliokatiza katika anga zake.

As opposed watanzania wengi walizoea kubembelezwa kutekeleza majukumu yao ila kipindi cha huyo mzee watu waliwajibika ipasavyo sababu walijua anytime mtaa unaweza ukakupokea kwa fedhea kubwa. Ilikuwa bahati mbaya kwa wenye vyeti feki pia sababu watu wote waliokuwa wanaishi kimagumashi walitubu 😂😂😂 na hawa ndio miongoni mwa waombolezaji wengi ambao walikuwa wanashangilia kifo cha mwamba na kuspin mabandiko ya kipuuzi kila kukicha humu.
 
Kama umeme wa Gesi ni aghali namna hiyo kwa nini tulianzisha ujenzi wake na kisha tukautelekeza.

SGR itaongezaje wingi wa mizigo?
 
Tafsiri yako kuhusu Maendeleo imeenda upogo!!
 
Chacha Wangwe je?
 
Mkuu usitumie Ak 47 kuua nzi...hawa jamaa ni wale wa vyeti feki ambao hata uwezo wao wa kuangalia mambo kwa picha kubwa ni mdogo sana.
 
Kabisa. kwa mfano wa umeme wa maji kule rufiji. Jee tulishamaliza kufanya uwekezaji kwenye mradi wa Gesi ili izalishe umeme?

SGR ipo kwa kuwa iliyopo ilielemewa ama ni kwa kuwa kuna watu wanaona "usasa" na fahari kuwa na SGR?
Swali dogo tu nikuulize mfano wewe umenunua gari aina ya Corrolla ya mwaka 2010 unatembelea ni kwamba ukinunua ile ya mwaka 1994 haifanyi kazi ama? Why do you have to buy a recent make of a car?
 
Swali dogo tu nikuulize mfano wewe umenunua gari aina ya Corrolla ya mwaka 2010 unatembelea ni kwamba ukinunua ile ya mwaka 1994 haifanyi kazi ama? Why do you have to buy a recent make of a car?
Hicho kiingilishi umenichanganya. Hivi mfano huo unasadifu tunachojadili. mfano wako unaonesha kubadili wakati sisi tunajadili kuongeza!!
 
Kwa ivo unataka kusema kwamba kwa Tanzania watu kupotea ni kitu halali na cha kawaida??
Kwani watu kupotezwa walianza kwa JPM? Daudi Mwangosi alieng'olewa meno na kucha bila ganzi awamu ya 4 hakuwa mtu yule? Wangapi walipotezwa awamu ya 4 au kwa sababu kila mtu alikuwa anainjoy nchi ilivyokuwa in "Narco State Mode" hela chafu ilipozagaa mtaani hakukuwa na time ya kufuatilia haya matukio.
 
Una uhakika kwamba Ben Sanane alipotezwa na Magufuli? Wapo watu wanajua Ben Sanane alipoteaje hata ndani ya Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…