Jibu: Treni na reli ya SGR inaongeza ufanisi wa usafirishaji, teknolojia yake ni zaidi ya teknolojia ya gogo la reli ya kati ama ya Tazara.
Kivipi: Matumizi ya umeme ni nafuu kuliko mafuta, bei sote tunaziona zilivyo kali kwa sasa. Speed ya treni inapelekea uharaka wa usafirishaji, at 160km/h electric sgr train is faster 4 times than old diesel locomotives zenye top speed ya 40km/h. Hii ina maana kwamba tunaweza save time zaidi kwa kusafiri na treni kwa mikoa jirani kama Dar-Moro treni ya SGR italeta tija kubwa sana.