Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kuja kwenye mfano wa gari:Hicho kiingilishi umenichanganya. Hivi mfano huo unasadifu tunachojadili. mfano wako unaonesha kubadili wakati sisi tunajadili kuongeza!!
Huwezi kununua gari ya kizamani 1994 ikutese sababu haina ufanisi. Inachoma litre moja kwa kilometa 5 na speed na usalama ni mdogo. Haina airbags wala balance na mwendo ni 120kph.
Gari ya kisasa 2010 inaweza operate kwa ufanisi zaidi ikiwa na hybrid functionality yani mafuta kidogo na umeme. Inaweza kupa 20km kwa litre moja. Ina airbags na driver assistance features lukuki. Ina speed balance na mwendo wa 240km/h
Hio ni sawa kabisa na ku ditch locomotive na kuhamia kwenye sgr trains.