Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Pale Chadema kabakia Heche peke yake

Wengine wote kundi moja na Covid 19 ni asali kwa kwenda mbele
Ulikuwa unakula biriani kama nilivyosema? Nyie ndiyo mnaokula mema ya nchi bwana.

Baada ya hapo unaangalia TBC na kupiga simu mbili tatu, kicha unarudi JF kuwachezesha watu segere matata!!

Huwezi kuelewa tunachosema mpaka siku moja ukose (na haitatokea iwe hivyo) hela ya kununulia sukuma wiki.
 
Aisee!!

Kweli CCM itaendelea kutawala...

Ha! Ha! Ha! Ha!
Itaachaje kutawala ilihali imeshatengeneza wapinzani wa kudumu ambao kiongozi wao hana madhara sababu hayupo hai? Wafuasi wanapigania legacy wanasahau kwamba TZ ni ya walio hai. Kuna Vijana badala ya kutafuta upinzani imara wa kubadili mfumo wapo wanatengeneza upinzani wa kupigania legacy.
 
Itaachaje kutawala ilihali imeshatengeneza wapinzani wa kudumu ambao kiongozi wao hana madhara sababu hayupo hai? Wafuasi wanapigania na legacy wanasahau kwamba TZ ni ya walio hai.
Siyo kweli. Umeandika kwa kudurufu ulichokaririshwa na CCM.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Siyo kweli. Umeandika kwa kudurufu ulichokaririshwa na CCM.
Kwani nje ya wapinzani wa legacy kuna upinzani mwingine TZ ambao unaona upo active 2022? Ushaona hata vijana wakishinikiza jambo la kiupinzani humu JF kama vijana wa legacy?
 
Kwani nje ya wapinzani wa legacy kuna upinzani mwingine TZ ambao unaona upo active 2022? Ushaona hata vijana wakishinikiza jambo humu JF kama vijana wa legacy?
Siasa ni zaidi ya JF na mashinikizo. Upinzani siyo chama ni fikra zinazokinzana na hizo zipo tu. Yahya Jameh naye alidhani upinzani ni vyama, akafuta vile alivyovihofia lakini na bado akashindwa uchaguzi.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wewe ni zuzu!

Hao uliowataja ni kina nani mbona juzi tu hapa watu 7 wa familia moja wameuawa kwa mapanga wao siyo watu? Wameuawa kipindi cha magu?

Ulimboka nae alikuwa magu yule?
Mwangosi nae alikuwa magu?
Dr. Mvungi alikuwa magu?
Hivi umejaza mavi huko kichwani kiasi kwamba hukumbuki kama enzi za jk kuna bomu lilirushwa kwenye mkutano wa chadema pale soweto arusha likaua watu 5? Alikuwa magu yule?

Na hawa nao vipi umeshaambiwa wako wapi mpaka muda huu? [emoji116]View attachment 2305615
Mtajie na Chacha Wangwe
 
Siasa ni zaidi ya JF na mashinikizo. Upinzani siyo chama ni fikra zinazokinzana na hizo zipo tu. Yahya Jameh naye alidhani upinzani ni vyama, akafuta vile alivyovihofia lakini na bado akashindwa uchaguzi.
Hapa tupo ndani ya JF. Reff yoyote nje ya JF ni sahihi pale tu itakapoletwa kutoka katika chanzo kusicho na shaka, otherwise nitakuwa sahihi nikisema hakuna upinzani active mwaka huu tofauti na utetezi wa legacy. Unaweza kuniprove wrong.
 
Viongozi wengi wakubwa wametangulia mbele za haki lakini huyu Baba mbona mnamsimanga kupitiliza? Mwacheni JPM apumzike kwa amani kama "watangulizi" wengine wanavyopumzishwa.
 
Viongozi wengi wakubwa wametangulia mbele za haki lakini huyu Baba mbona mnamsimanga kupitiliza? Mwacheni JPM apumzike kwa amani kama "watangulizi" wengine wanavyopumzishwa.
Viongozi wengine wanahusika na hayo aliyoyazungumza mleta mada?
 
Back
Top Bottom