Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza mm ni mwanaccm kama hakuna upinzani turuhusu mikutano ili tujijue tuko wapi.Hivi kuna upinzani Tanzania?
Chacha wangwe alikufa lini na Kubenea alikuwa kiongozi wa CHADEMA lini? Kwa nini usidhani Zitto Kabwe aliyekuwa anaongoza Kampeni za CHADEMA Tarime baada ya Chacha Wangwe kufa ndiye anayehusika?Kamulize Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, walikuwa wanakutana naye,tena Sasahivi anaweza kukueleza vizuri sababu Sasahivi hayuko Chadema, kipindi kile alikuwa anaandika kwa kufichaficha sababu alikuwa anamwogopa Mbowe.
Kwakuwa bando nilako unakurupuka nakuleta uozo wako hapoKuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.
Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.
Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?
Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?
Kwanza mm ni mwanaccm kama hakuna upinzani turuhusu mikutano ili tujijue tuko wapi.
Hatuwezi kuuliza swali wakati uwanja tumejipa wenyewe
Kwani ikifanyika inazuia maendeleo yapi chanya??Hiyo mikutano yako ya hadhari imeleta maendeleo chanya yapi?
Tanzania hakuna upinzani tz kuna wahuni tuKosa kubwa kufanywa magufuli ni kutaka kuua upinzani alisahau kua upinzani ni wanainchi na ukigombana na wanainchi hapo unaingia kwenye ugomvi WA moja kwa moja Na MUNGU
Hao wahuni ndiyo kila siku wakijiunga CCM inafanywa sherehe ya kama ya kuzaliwa mtoto??Tanzania hakuna upinzani tz kuna wahuni tu
Mie sijazungunzia Chacha Wangwe ingawa Chacha Wangwe alikutwa na matatizo baada ya kupishana na Mbowe,Mie nimezungumzia Ben saanane, gazeti lake Kubenea lilisha wahi kuzungumzia huyo Been sa8 kuwa kunasehemu alikuwa amejificha na kila siku walikuwa wanamwona.Na wakati anaandika hayo bado alikuwa Chadema na hakuna aliyepinga.Sasahivi mnasema Magufuli ndiye aliyempoteza badala ya kumuliza Kubenea aliyekuwa anajua alikofichwa,tena Sasahivi anaweza kukueleza vizuri sababu Sasahivi hayuko Chadema.Chacha wangwe alikufa lini na Kubenea alikuwa kiongozi wa CHADEMA lini? Kwa nini usidhani Zitto Kabwe aliyekuwa anaongoza Kampeni za CHADEMA Tarime baada ya Chacha Wangwe kufa ndiye anayehusika?
Mnamkuza sana Mbowe. Yaani afanye mauaji halafu asishitakiwe na serikali tena inayoongozwa na maadui zake CCM? kinachowaogopesha wasimshitaki ni nini?
Poor thinking capability.unataka kusema kupotea kwa Ben Saanane kunafanana na kuuawa kwa Daudi Mwangosi?
Hadi hili ni vigumu kulisahihisha ?...au linanufaisha upande fulani ndio maana bado linatekelezwa ?Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?
Hahahahahahah atakuwa alikuwa demu wake wa Bushi kipindi hajatoboa lifeHuyo jamaa nasikia ni mjane wa pili wa mzee ila hakujumlishwa kwenye mirathi ndio sababu ya hasira zake hizi
Nyie si mnapinga ushoga? Kwa ivo jamaa yenu alikuwa anashobokea ushoga??Hahahahahahah atakuwa alikuwa demu wake wa Bushi kipindi hajatoboa life
Umeshajua utakapokwenda na kuwa utakufa mara ngapi ndug malaika?Yule alipo anatakiwa afe tena mara 2
Anachotakiwa kufanya ni kujitahidi akakutane na mkuu wa malaika!!Umeshajua utakapokwenda na kuwa utakufa mara ngapi ndug malaika?
Mfuate huko alipo ShatoUmeshajua utakapokwenda na kuwa utakufa mara ngapi ndug malaika?
Ungekomaa kujiandalia unakokwenda badala ya kuhangaika na mtu ambaye faili lake duniani limekwisha fungwa!
Pole sana ndugu malaika!
Ndiyo.Yapo kadhaa aliyowahi kuyafanya na yana manufaa sana kwa Watanzania.Allen Kilewella kuna jambo jema lolote unalodhania tunaweza kujivunia toka kwa Rais wa tano, mzee wetu JP Magufuli?