Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Sawa ndugu malaika. Naona umejipa cheo cha kupangia watu maisha yao na vifo vyao. Jua tu Mungu hana katibu muhtasi! Usisahau hilo ndugu malaika!Mfuate huko alipo Shato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ndugu malaika. Naona umejipa cheo cha kupangia watu maisha yao na vifo vyao. Jua tu Mungu hana katibu muhtasi! Usisahau hilo ndugu malaika!Mfuate huko alipo Shato
Ujinga ni tusi?Kwenu ulifunzwa kwamba kutukana ni jambo la heshima sana!!??
Kwani nikifa mumeo atapata hasara gani?Sawa ndugu malaika. Naona umejipa cheo cha kupangia watu maisha yao na vifo vyao. Jua tu Mungu hana katibu muhtasi! Usisahau hilo ndugu malaika!
Mkuu,Viongozi wengi wakubwa wametangulia mbele za haki lakini huyu Baba mbona mnamsimanga kupitiliza? Mwacheni JPM apumzike kwa amani kama "watangulizi" wengine wanavyopumzishwa.
Hao uliowataja waliuawa na nani?Kwani Chacha Wangwe aliuawa na nani??
Ndiyo. Inategemeana umeunganisha na maneno gani mengine kwenye sentensi yako. Na ndiyo maana kwa mila zetu huwezi kumwambia mzazi wako "wewe ni mjinga" ama wewe ni "taahira". Au kwenu ni kawaida kuwaita wazazi wenu ni "wajinga" na "taahira"??Ujinga ni tusi?
Unaweza kuweka uzi wa kuyasema hayo?Ndiyo.Yapo kadhaa aliyowahi kuyafanya na yana manufaa sana kwa Watanzania.
zama zile za safari kwa Miguu, mabumunda ndiyo kilikuwa chakula muhimu sana kwa wasafiri. Ukikua utajua.Mkuu,
Haya ni yake mabumunda ya pale ufipa
Nyie masikini bhana hata waume zenu wakishindwa kusimamisha wawapande mtamsingizia MagufuliAthari za utawala wa kishenzi wa JPM zitaendelea kulitesa taifa hili kwa muongo mzima ujao! Dalili za masalia ya "mentality and silly attitudes zake ziko katika kila nyanja na tasnia hapa nchini; it indeed a dark chapter ambayo Watanzania wengi tungependa kuisahau haraka sana isipokuwa Masukumagang peke yao ambayo yana akili chafu za kishetani kama baba yao!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kiswahili imeshakuwa lugha rasmi ya UN lakini wewe bado hata kuiandika hujui. Andika "unahoji nini" na siyo"unaoji nn". Kama Lugha ya Kiswahili huijui utawezaje kujenga mantiki kwa Lugha hiyo sasa??
Usipaniki ndugu malaika! Hakuna aliyesema utakufa. In fact nakuombea maisha marefu mpaka Jalali atakapoamua vinginevyo. Nakuasa tabia yako ya kujifanya katibu Mukhtasi wa Mungu ndugu malaika. Ujue tu Mungu hana katibu muhtasi. Na ujue wewe ni mwanadamu kama Rais Magufuli alivyokuwa. Na utasimama mbele ya Mungu kujibu kuhusu mambo yako. Jikite kuandaa utakapoishia. Magufuli amekwisha kuondoka kati ya walio hai na Mungu hahitaji ushauri wa awaye yeyote kujua amuweke wapi na kama amtunuku au amuadhibu.Kwani nikifa mumeo atapata hasara gani?
Sasa kwanini kwa lisu wako na ben lawama umtupie Magu?Chacha wangwe alikufa lini na Kubenea alikuwa kiongozi wa CHADEMA lini? Kwa nini usidhani Zitto Kabwe aliyekuwa anaongoza Kampeni za CHADEMA Tarime baada ya Chacha Wangwe kufa ndiye anayehusika?
Mnamkuza sana Mbowe. Yaani afanye mauaji halafu asishitakiwe na serikali tena inayoongozwa na maadui zake CCM? kinachowaogopesha wasimshitaki ni nini?
"Mazuri" unataka tuyaenzi,lakini "mabaya" hutaki tuyajadili. Mantiki yako ni nini?Kwa mazuri aliyotuachia hakuna namna ila kuyaenzi na kuhakikisha yanasogea kwa manufaa yetu sote. Na kwa makosa aliyofanya kama mtu na yaliyofanyika chini ya uongozi wake kuna mengine hamna namna ya kuthibitisha wala kurekebisha. Yanayorekebishika turekebishe tusonge mbele.
Nimtupie kwani ni jiwe??Sasa kwanini kwa lisu wako na ben lawama umtupie Magu?
Unaweza kusoma tena nilichokiandika. Kama utakielewa basi sawa. Ila kama hutakielewa basi sina namna nyingine ya kuandika."Mazuri" unataka tuyaenzi,lakini "mabaya" hutaki tuyajadili. Mantiki yako ni nini?
Kumbe?Magufuli alikuwa na Phd fake ndio maana alimuua aliyejaribu kulifuatilia. Yule alikuwa jambazi na shetani mkuu
Watajiunga vipi ccm wakati tayari ni ccm.?Hao wahuni ndiyo kila siku wakijiunga CCM inafanywa sherehe ya kama ya kuzaliwa mtoto??
Sasa kama ulikuwa unampekea ukitegemea akuache?Nyie si mnapinga ushoga? Kwa ivo jamaa yenu alikuwa anashobokea ushoga??
Sasa tumeanza kujua kwamba ni kwa nini kwa yule "dogo" jamaa yenu alikuwa hapindui.
unakubaliana na ushoga??Sasa kama ulikuwa unampekea ukitegemea akuache?