Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.

Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.

Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?

Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?​
Mbona Huwa hamtaji Chacha Wangwe?

Sisi wengine tunawachora tu. Kila mtu kafa na Magufuli.

Sisi tunajua .. wengi wenu aliwabania pesa za Bure a.k.a Sukarii mkawa mbogo maana njaa ilisumbua.
 
Viongozi wengi wakubwa wametangulia mbele za haki lakini huyu Baba mbona mnamsimanga kupitiliza? Mwacheni JPM apumzike kwa amani kama "watangulizi" wengine wanavyopumzishwa.
Wakati Nyerere anang'tuka hakusimangwa? Mwinyi na Mkapa?
 
Mbona Huwa hamtaji Chacha Wangwe?

Sisi wengine tunawachora tu. Kila mtu kafa na Magufuli.

Sisi tunajua .. wengi wenu aliwabania pesa za Bure a.k.a Sukarii mkawa mbogo maana njaa ilisumbua.
Kwani Chacha Wangwe aliuawa na nani??
 
Hiyo safari inafupishwa ni ya nini au ya nani? Hilo bwawa la umeme limegharimu shilingi ngapi na litaanza lini kuzalisha umeme na likianza litashusha bei ya umeme ama litapandisha?
Kumbe wee Ni empt. Kia's hiki kweli
 
Kabisa. kwa mfano wa umeme wa maji kule rufiji. Jee tulishamaliza kufanya uwekezaji kwenye mradi wa Gesi ili izalishe umeme?

SGR ipo kwa kuwa iliyopo ilielemewa ama ni kwa kuwa kuna watu wanaona "usasa" na fahari kuwa na SGR?
Duh umetokea wapi aisee unaoji nn sasa
 
Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.

Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.

Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?

Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?​
Nadhani tuache kuvumisha shida zetu na kudhani ni shida za taifa. Makosa gani ulitaka yasahihishwe? Ulitaka SGR isijengwe? Ulitaka Azore afufuke? Ulitaka bwawa zifukiwe? Rudi nyuma na angalia mtangulizi Kikwete. Rushwa aliyotujengea hadi tukaporomoka kiuchumi chini kabisa ya Kenya inarekebishika? Uhasama wa kidini alioulea unarekebishika leo hii? yaani miaka 10 inakwisha ktk utawala bila mradi wowote unaoitwa ni wa kimaendeleo, zaidi ya barabara ambazo zilianza wakati wa Mkapa?

Najua masurufu mifukoni yalilegalega na hilo siyo kosa la rais. ilitakiwa iwe hivyo na inatakiwa iwe hivyo, kama tungekuwa na rais anayejitambua, badala ya kuwaongezea watu shilingi elfu 20 za mshahara! Kipindi hiki utashuhudia upuuzi ktk maisha. Ngorongoro ndo miradi mipya. Itafikia ukimuona mwarabu unatoa shikamoo!
 
Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.

Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.

Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?

Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?​
We mbwa, unamsimanga hadi marehemu!!

Kwanini usiachane nae ukafanya yako?

Tumia akili, bwege wewe.
 
Athari za utawala wa kishenzi wa JPM zitaendelea kulitesa taifa hili kwa muongo mzima ujao! Dalili za masalia ya "mentality and silly attitudes zake ziko katika kila nyanja na tasnia hapa nchini; it indeed a dark chapter ambayo Watanzania wengi tungependa kuisahau haraka sana isipokuwa Masukumagang peke yao ambayo yana akili chafu za kishetani kama baba yao!
 
Duh umetokea wapi aisee unaoji nn sasa
Kiswahili imeshakuwa lugha rasmi ya UN lakini wewe bado hata kuiandika hujui. Andika "unahoji nini" na siyo"unaoji nn". Kama Lugha ya Kiswahili huijui utawezaje kujenga mantiki kwa Lugha hiyo sasa??
 
We mbwa, unamsimanga hadi marehemu!!

Kwanini usiachane nae ukafanya yako?

Tumia akili, bwege wewe.
Asiyefunzwa na mamaye... Ingawa unatumia jina bandia, bila shaka kutukana ndiyo tabia yako halisi. Umeharibikiwa.
 
Athari za utawala wa kishenzi wa JPM zitaendelea kulitesa taifa hili kwa muongo mzima ujao! Dalili za masalia ya "mentality and silly attitudes zake ziko katika kila nyanja na tasnia hapa nchini; it indeed a dark chapter ambayo Watanzania wengi tungependa kuisahau haraka sana isipokuwa Masukumagang peke yao ambayo yana akili chafu za kishetani kama baba yao!
Na huyo kipenzi chenu ana lipi jipya? Mbona nchi inamshinda na hana nguvu hata ya kukemea maovu ya wateule wake.
 
Kabisa. kwa mfano wa umeme wa maji kule rufiji. Jee tulishamaliza kufanya uwekezaji kwenye mradi wa Gesi ili izalishe umeme?

SGR ipo kwa kuwa iliyopo ilielemewa ama ni kwa kuwa kuna watu wanaona "usasa" na fahari kuwa na SGR?
Rubbish! Unajua maana ya SGR? Kwa nini unataka SGR isiwepo kwa kuwa reli ya mjerumani ipo? Hujui tofauti na faida zake. Uliza ufundishwe.

Kwa nini huoni tofauti ya umeme wa gesi na maji? Magu angekuwepo leo hii tungempa unabii kwa yale yanayotokea ulaya. Unajua kwa nini wanakimbilia makaa ya mawe tena? Unahitaji elimu ya dunia.
 
Rubbish! Unajua maana ya SGR? Kwa nini unataka SGR isiwepo kwa kuwa reli ya mjerumani ipo? Hujui tofauti na faida zake. Ulizwa ufundishwe.

Kwa nini huoni tofauti ya umeme wa gesi na maji? Magu angekuwepo leo hii tungempa unabii kwa yale yanayotokea ulaya. Unajua kwa nini wanakimbilia makaa ya mawe tena? Unahitaji elimu ya dunia.
Rubbish??

SGR ni upana tu wa reli. kuna kingine zaidi ya upana wa reli?

Sizungumizi tofauti ya umeme bali gharama ya uwekezaji.

Umeelewa sasa?
 
Wewe unayejua alipotezwa na nani tuambie na utueleze alipoteaje??
Kamulize Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, walikuwa wanakutana naye,tena Sasahivi anaweza kukueleza vizuri sababu Sasahivi hayuko Chadema, kipindi kile alikuwa anaandika kwa kufichaficha sababu alikuwa anamwogopa Mbowe.
 
Back
Top Bottom