Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Kamulize Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, walikuwa wanakutana naye,tena Sasahivi anaweza kukueleza vizuri sababu Sasahivi hayuko Chadema, kipindi kile alikuwa anaandika kwa kufichaficha sababu alikuwa anamwogopa Mbowe.
Chacha wangwe alikufa lini na Kubenea alikuwa kiongozi wa CHADEMA lini? Kwa nini usidhani Zitto Kabwe aliyekuwa anaongoza Kampeni za CHADEMA Tarime baada ya Chacha Wangwe kufa ndiye anayehusika?

Mnamkuza sana Mbowe. Yaani afanye mauaji halafu asishitakiwe na serikali tena inayoongozwa na maadui zake CCM? kinachowaogopesha wasimshitaki ni nini?
 
Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.

Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.

Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?

Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?​
Kwakuwa bando nilako unakurupuka nakuleta uozo wako hapo
Hiyo mikutano yako ya hadhari imeleta maendeleo chanya yapi?
Nikuruhusu mkutanike halafu namshikilia mwenyekiti wako wa kikao je nani wakufungua mkutano?
Hivi unajifanya hujui au ndo vijisenti vyakushibisha tumbo hilo[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 
Kosa kubwa kufanywa magufuli ni kutaka kuua upinzani alisahau kua upinzani ni wanainchi na ukigombana na wanainchi hapo unaingia kwenye ugomvi WA moja kwa moja Na MUNGU
Tanzania hakuna upinzani tz kuna wahuni tu
 
Chacha wangwe alikufa lini na Kubenea alikuwa kiongozi wa CHADEMA lini? Kwa nini usidhani Zitto Kabwe aliyekuwa anaongoza Kampeni za CHADEMA Tarime baada ya Chacha Wangwe kufa ndiye anayehusika?

Mnamkuza sana Mbowe. Yaani afanye mauaji halafu asishitakiwe na serikali tena inayoongozwa na maadui zake CCM? kinachowaogopesha wasimshitaki ni nini?
Mie sijazungunzia Chacha Wangwe ingawa Chacha Wangwe alikutwa na matatizo baada ya kupishana na Mbowe,Mie nimezungumzia Ben saanane, gazeti lake Kubenea lilisha wahi kuzungumzia huyo Been sa8 kuwa kunasehemu alikuwa amejificha na kila siku walikuwa wanamwona.Na wakati anaandika hayo bado alikuwa Chadema na hakuna aliyepinga.Sasahivi mnasema Magufuli ndiye aliyempoteza badala ya kumuliza Kubenea aliyekuwa anajua alikofichwa,tena Sasahivi anaweza kukueleza vizuri sababu Sasahivi hayuko Chadema.
 
Huyo jamaa nasikia ni mjane wa pili wa mzee ila hakujumlishwa kwenye mirathi ndio sababu ya hasira zake hizi
Hahahahahahah atakuwa alikuwa demu wake wa Bushi kipindi hajatoboa life
 
Hahahahahahah atakuwa alikuwa demu wake wa Bushi kipindi hajatoboa life
Nyie si mnapinga ushoga? Kwa ivo jamaa yenu alikuwa anashobokea ushoga??

Sasa tumeanza kujua kwamba ni kwa nini kwa yule "dogo" jamaa yenu alikuwa hapindui.
 
Hauna akili!.
Rudia kusoma comment ya 6, ya crimea.
 
Back
Top Bottom