Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #41
unataka kusema kupotea kwa Ben Saanane kunafanana na kuuawa kwa Daudi Mwangosi?Kwani watu kupotezwa walianza kwa JPM? Daudi Mwangosi alieng'olewa meno na kucha bila ganzi awamu ya 4 hakuwa mtu yule? Wangapi walipotezwa awamu ya 4 au kwa sababu kila mtu alikuwa anainjoy nchi ilivyokuwa in "Narco State Mode" hela chafu ilipozagaa mtaani hakukuwa na time ya kufuatilia haya matukio.
Mada inamuhusu nani?Kumbe mambo ya serikali yetu ya Tanzania hayana mwendelezo??
Wewe unayejua alipotezwa na nani tuambie na utueleze alipoteaje??Una uhakika kwamba Ben Sanane alipotezwa na Magufuli? Wapo watu wanajua Ben Sanane alipoteaje hata ndani ya Chadema.
Magufuli kama rais na si kama mtu binafsi.Mada inamuhusu nani?
Unataka kusemaje hapa mkuu?unataka kusema kupotea kwa Ben Saanane kunafanana na kuuawa kwa Daudi Mwangosi?
Sasa ungeanzia enzi za nyuma siyo unabagua watu wa kuwalaumu!Kwa ivo unataka kusema kwamba kwa Tanzania watu kupotea ni kitu halali na cha kawaida??
Hii mada hatuzungumzii ukali wala unafuu wa kufa.Unataka kusemaje hapa mkuu?
kwamba kifo cha mwangosi kilikua na nafuu?
badili kichwa cha mada kisomeke "makosa ya maraisi wa tanzania hayasahihiki"Magufuli kama rais na si kama mtu binafsi.
Ya nini sasa na mtu alishakwenda?hatumjadili Mwendazake, tunayajadili matendo yake!!
Hapana kila mtu ana makosa yake aliyofanya/atakayofanya akiwa Rais. Kwa mfano utamlaumu Mzee Mwinyi kwa hasara itakayotokana na Ujenzi wa SGR?badili kichwa cha mada kisomeke "makosa ya maraisi wa tanzania hayasahihiki"
Jibu: Treni na reli ya SGR inaongeza ufanisi wa usafirishaji, teknolojia yake ni zaidi ya teknolojia ya gogo la reli ya kati ama ya Tazara.Hicho kiingilishi umenichanganya. Hivi mfano huo unasadifu tunachojadili. mfano wako unaonesha kubadili wakati sisi tunajadili kuongeza!!
Magufuli pia ndio alisababisha wanachama wenu wakafanya kwenye maandamano kule Arusha na igunga 2011??Hii mada hatuzungumzii ukali wala unafuu wa kufa.
Kwa hiyo hasara alizosababisha mwinyi tumezisamehe?Hapana kila mtu ana makosa yake aliyofanya/atakayofanya akiwa Rais. Kwa mfano utamlaumu Mzee Mwinyi kwa hasara itakayotokana na Ujenzi wa SGR?
Mabuza wewe unaishi SA kwamashu stMisukule ya Magufuli mi majinga sana, yanadhani wengine hatuishi huku mitaani.
Kwa kulitambua hilo ndio maana nimekwambia siwezi kujibu mada ya gas maana haimuhusu magufuri uliyemwanzishia mada.Hapana kila mtu ana makosa yake aliyofanya/atakayofanya akiwa Rais. Kwa mfano utamlaumu Mzee Mwinyi kwa hasara itakayotokana na Ujenzi wa SGR?
SGR kwanza siyo teknolojia bali ni upana wa Reli. Treni za umeme zilikuwapo hata kabla ya kuja kwa reli za SGR. Na hoja ya kuongezeka kwa ufanisi kwa kuwa reli imekuwa ni SGR siyo kweli. Ufanisi hauletwi kwa kuwa na reli pana bali ubora wa menejimenti.Jibu: Treni na reli ya SGR inaongeza ufanisi wa usafirishaji, teknolojia yake ni zaidi ya teknolojia ya gogo la reli ya kati ama ya Tazara.
Kivipi: Matumizi ya umeme ni nafuu kuliko mafuta, bei sote tunaziona zilivyo kali kwa sasa. Speed ya treni inapelekea uharaka wa usafirishaji, at 160km/h electric sgr train is faster 4 times than old diesel locomotives zenye top speed ya 40km/h. Hii ina maana kwamba tunaweza save time zaidi kwa kusafiri na treni kwa mikoa jirani kama Dar-Moro treni ya SGR italeta tija kubwa sana.
Hapo Chadema nani ni mzima?Yule alipo anatakiwa afe tena mara 2