Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ulimboka yule aliyekataa wito wa Ikulu sababu anataka specialist na madaktari wagome? Hivi yupo?Yapi hayo ya Dr Ulimboka au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimboka yule aliyekataa wito wa Ikulu sababu anataka specialist na madaktari wagome? Hivi yupo?Yapi hayo ya Dr Ulimboka au?
Swali kunduz Sana hili.Hivi kuna upinzani Tanzania?
Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.
Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.
Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?
Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?
We do not need honey lickers either.This is rubbish big time.. the tyrant you are glorifying was s true devil.. power hungry and ready to kill.. Tz doesn't need a tyrant to develop, it needs wisdom, integrity and empathy instead.
Rot in hell jiwe
Ndio yanadhihirisha ule msemo kuwa usimuamini binadamu hata kama unamtaniaKinaniuma moyo ni kuwa kulikuwa na majinamizi ya karibu sana ambayo aliyaamini huku yakiwa na ya kwao moyoni na sasa yanajitokeza hadharani kuonyesha real colour zao
🤣🤣🤣🤣Mungu hataniwi Wala hadhihakiwi.hakuna mwenye akili Wala mjinga mbele yake.wote kwake tuko sawa.🤣🤣🤣uwe na akili wewe,kubwajingailikuwa ni kuleta maendeleo ya haraka sana hakutaka mambo ya kujivuta na siasa za chokochoko ndio maana aliwafyeka mikia wajinga wajinga
Labda Kikwete atakuwa anajua kama yupo au hayupo.Ulimboka yule aliyekataa wito wa
Ikulu sababu anataka specialist
na madaktari wagome? Hivi
yupo?
Kweli kabisa...Labda Kikwete atakuwa anajua kama yupo au hayupo.
Kama yupo harudii tenaLabda Kikwete atakuwa anajua kama yupo au hayupo.
Mtu huyo hakuja bahati mbaya alishatabiriwa tangu second half ya Awamu ya nne.Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.
Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.
Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?
Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?
Vp kuhusu Aquilina na David mwangosi , na meno,kucha za yule daktar alitupwa mabwepande vinarudije na wanarudije?Jibu hoja za mleta mada acha kuongea uongo mjibu kwanza Ben saa nane na Azory wanarudije ?
Awamu ya nne watu walisikika walidai Nchi inahitaji DICTATOR yawezakuwa nawe ni mmoja wao umesahau.Kingine alichokosea mtu wenu ni upungufu wake wa mawazo kudhani Sekta binafsi iwe viwanda au biashara ni miradi ya Mafisadi , hii ilikuwa akili ya kiwango cha chini sana !
ALAANIWE YEYOTE ALIYESABABISHA YULE MTU KUWA RAIS , Hakufaa hata kuwa katibu wa kijiji .
Punguwani Mkubwa wewe!Kingine alichokosea mtu wenu ni upungufu wake wa mawazo kudhani Sekta binafsi iwe viwanda au biashara ni miradi ya Mafisadi , hii ilikuwa akili ya kiwango cha chini sana !
ALAANIWE YEYOTE ALIYESABABISHA YULE MTU KUWA RAIS , Hakufaa hata kuwa katibu wa kijiji .
Ni kweli ukishughulikiwa huwezi kurudia ukae kimya au ukimbie nchi kama yule mwengine.Kama yupo harudii tena
"HAYASAHIHISHIKI" tujadili kdg.Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.
Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.
Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?
Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?
Unasema ni "ofisi ya chama" halafu unataka Mbowe Peke yake ndiyo ajenge hiyo ofisi. Kwa nini?
Najua unamlenga JK ila nikusaidie tu wewe kilaza aquilina aliuwawa na polisi kwà makosa ya mkurugenzi wa halmashauri yenu wa ccmVp kuhusu Aquilina na David mwangosi , na meno,kucha za yule daktar alitupwa mabwepande vinarudije na wanarudije?
Grid ya Taifa miundombinu yake imechakaa hadi kuvujisha kiwango kikubwa cha umeme wakati wa usafirishaji. Jee ukarabati wake haukuwa jambo la kipaumbele kwanza?Hapo kwenye ujenzi wa Sgr na Bwawa amekosea wapi?