Makosa ya IGP Sirro akiwa ofisini yaanze kukusanywa, Hana kinga kikatiba

Tema mate Chini... one day watakuja kujibu .....Ikija kubainika maiti za kwenye sandarusi walihusika kama mkuu wa Polisi...Sirro will be in for it....mark my word

Waombe kifo cha mapema
Muulize IGP na kingai mahita walipo Moses Lilenje na lt Urio kwanza kabla ya list ingine kubwa zaidi
 
Yupo Mahita mwingine huko moshi ni rafiki mkubwa wa Sabaya ambaye alishirikiana na Sabaya kuwakamata watu hovyo hovyo kuwabambikia kesi kuwapiga kuwatesa na mambo mengineyo mengi ya hovyo zaidi
Wote wamerithi kwa baba zao
 
Tema mate Chini... one day watakuja kujibu .....Ikija kubainika maiti za kwenye sandarusi walihusika kama mkuu wa Polisi...Sirro will be in for it....mark my word

Waombe kifo cha mapema
Mark your word? Watu waliodhalilisha utu wa watu wengine kama akina Makonda bado wapo na hawajaguswa. Akina Mahita na ubabe wote bado wanadunda mtaani na wala hakuna dalili yoyote ya wabongo kuchukua hatua. Acha watu waenjoy maisha yao
 
Uchaguzi wa juzi upinzani ulishinda kila kona lakini Tumeccm Polisiccm wakurugenziccm waliupora ushindi kwa njia haramu za kishetani, kwa kifupi hakukuwa na uchaguzi bali CCM imeulawiti kuubaka kunajisi uchaguzi mkuu
Thus tulimuomba Mungu awaaibishe wote waliobaka uchaguzi mkuu na kuwanyima watz haki ya kuchagua wawakilishi wao.
Mungu akajibu.
Jiwe chali, sabaya chali, chalamila chali,nkamia,kessy, bashiru na polepole awajulikani walipo.
 
Atalipwa na karma ya pemba yanamsuta.
Mwenzake zombe anaweweseka tu
Nyauringo alikuwa anatesa watu na hata kushiriki shambulio la Tundu lisu lakini mungu akamwadhibu kwa kupata ajali mbaya Bagamoyo akawa kiwete anatembelea Whilechair huku mwingine Asiyejulikana akifariki kwa ajali kule mbeya
 
Mark your word? Watu waliodhalilisha utu wa watu wengine kama akina Makonda bado wapo na hawajaguswa. Akina Mahita na ubabe wote bado wanadunda mtaani na wala hakuna dalili yoyote ya wabongo kuchukua hatua. Acha watu waenjoy maisha yao
Kuna mahita yupo Moshi Polisiccm alishirikiana na kingai kuwaua Moses Lilenje na lt urio hao ndiyo wanatakiwa The Hague kujibu mashitaka dhidi yao
 
Thus tulimuomba Mungu awaaibishe wote waliobaka uchaguzi mkuu na kuwanyima watz haki ya kuchagua wawakilishi wao.
Mungu akajibu.
Jiwe chali, sabaya chali, chalamila chali,nkamia,kessy, bashiru na polepole awajulikani walipo.
And the list goes on
 
Hapi nikiongozi mwenye sifa za akina sabaya na makonda

Utatu mtakatifu wa Magufuli

1. Paul makonda

2. Ally hapi

3. Sabaya

Hili kundi lilifanya madhila ya kila aina kwa watanzania wasio na hatia
One down two to go...siku yao inakuja umbwa wale wameumiza watu wengi sana
 
Nyauringo alikuwa anatesa watu na hata kushiriki shambulio la Tundu lisu lakini mungu akamwadhibu kwa kupata ajali mbaya Bagamoyo akawa kiwete anatembelea Whilechair huku mwingine Asiyejulikana akifariki kwa ajali kule mbeya
Wote wanaoumiza na kutesa watz Mungu ushughulika nao.
Bashite kawa raia leo ajui adui atatoka upande upo,
 
Nyauringo alikuwa anatesa watu na hata kushiriki shambulio la Tundu lisu lakini mungu akamwadhibu kwa kupata ajali mbaya Bagamoyo akawa kiwete anatembelea Whilechair huku mwingine Asiyejulikana akifariki kwa ajali kule mbeya
Huyu mtu si wanasema alishatangulia kuzimu vipi tena wheelchair
 
Amen Man Of God
Tza inalindwa na Mungu Mtawala yeyeto atakaetesa na kuumiza watu Mungu ushughulika nae.Sokoine aliwaumiza watu kuwalazimisha wawe masikini kwa kuwapora mali zao, huwezi ukalazimisha watz wafanane maisha ni kuingilia Kazi ya Mungu kwani yeye utoa karama mbalimbali kwa KILA mtu, Mwendazake akaumiza watu.Mungu akashughulika nao
 
Go ...Deeper..Papa
Amen Man Of God
 
Mark your word? Watu waliodhalilisha utu wa watu wengine kama akina Makonda bado wapo na hawajaguswa. Akina Mahita na ubabe wote bado wanadunda mtaani na wala hakuna dalili yoyote ya wabongo kuchukua hatua. Acha watu waenjoy maisha yao
Siku yaja...

Unafikiri Sabaya alijua kuna siku atapigwa mvua 30
 
Back
Top Bottom