Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Hizo pesa anaweza jenga shule, barabara na dispensari jimboni kwake(atakapotaka) wakaishia kama Dar.
Membe Angekuwa na ubinadamu huo angejengea mabilion ya Gadafi aliyofisadi.
Fisadi ni fisadi tu
Hata hukumu ni yakifisadi
Hiyo bilion 9 ukiongeza 1 ndio pesa waliyouziwa CCM chama cha CHADEMA ili lowasa agombee 2015.
Sasa Leo mtu mmoja tena mwanahabari eti anahukumiwa kulipa bilion tisa naamini hata huyo mtoa hukumu hajawahi ota kuzishika.
Rushwa, rushwa, rushwa
 
Kwa kifupi tu,hiyo hukumu haitekelezeki,utakuja niambia,ni swala la muda tu itatenguliwa!!
 
Bilioni 9 ni kidogo sana kwa dharau zake.
Angemdai 15B mleta mada ungeshikwa na tumbo la uzazi + kubleed kwa pamoja.
Acha tabia za kutetea ujinga.
Wacha anyooshwe.
 
Hyu Msiba alivokuwa anatumia mdomo kukashfu, alkuwa anafkiri mdomo wke ni mradi mradi tosha, kwmba mkubwa flani angeuskia na kuuona kisha kulijaza tumbo lake. kifupi mdomo wake umeliponza tumbo lake. wanaomuona kaonewa wapitie upya kauli zake. alokuwa anamtegmea ss hayuko, ss anajutia kuutumia mdomo vbaya
 
Kwa hali ya kiimani mtoa mada ukobsahihi. Ila kwa sheria za duniani huko sahihi. Kumkashifu mtu ni kosa kubwa na nizaidi ya hiyo b9. Biblia 1 Wakorintho 13:4
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;

1 Wakorintho 13:5
haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;

1 Wakorintho 13:6
haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;

1 Wakorintho 13:7
huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

Kwa muktadha wa kidini Membe amsamehe Musiba.
 
Wewe jamaa khaaa iyo fidia ama adhabu hajatoa mzee Membe imetoa mahakama kwa kwa kuangalia hadhi ya mtu Katika jamii

Mzee Membe ni mtu wa heshima katika Taifa hili ni baba mjomba kaka babu mme shemej wazir wa Taifa na kimataifa acha msiba avune alichopanda mzee
 
Jopo la mawakili waaminifu wakae kwa makini ili wachunguze madai ya Musiba kuhusu Membe. Kuna ukweli ndio maana kadai pesa nyingi kiasi hicho. Musiba ni mtu mzima mwenye akili timamu.
 
hiyo fidia ni funzo kwa baadhi yenu ambao mukipata vyeo munaona ni sawa kutukana wenzenu.

Sasa mtu atafikiria vizuri kabla ya kupanda kichwa na kuanza kutukana wenzake.
Siyo kupata vyeo, bali wakipata godfather muuaji asiyejua thamani ya uhai wanatukana na kutesa wengine wakijua huyo ni mungu wao ataishi milele. Afundishwe tu adabu
 
Tatizo la masukumagang uwezo wa kureason ni sifuri hasa mmoja wao akikamatwa kama hili juha! Kweli we kisamvu
 
Hoja yako hapo ni nini?
Musiba hakufanya kosa kwa sababu alikuwa analindwa na Magufuli?
Mahakama haijamtendea haki?
Na kwamba angekuwepo jambazi Magufuli hakimu asingetoa hiyo hukumu?
Na wewe jiulize kwa nini Musiba hakutaka kumuomba radhi Membe wala kuhudhuria mahakamani? Nani aliyempa kiburi hicho?
Sukumagang mnajulikana kwa reasoning zenu very shallow
 
Ungedaiwa wewe iyo 9B ungeona ni sawa? Mbona kila siku unamsema marehemu kwa kumdhalilisha lakin hujawahi daiwa chochote, lakin maneno ya msiba unayashadadia utadhani kafanya jinai ya kuua mtu, blood kabsaa
Marehemu gani anayedhalilishwa wewe sukumagang?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…